Binafsi naamini watoto waliotelekezwa ni wale wa mitaani sio wanaoishi na mama au baba

kijanamdogo

JF-Expert Member
Feb 25, 2018
231
176
Binafsi napenda kuishauri Serikali za mikoa yote ya Tanzania ziwakamate watoto wote wa mitaani ili kila mtoto awataje wazazi wake kisha Serikali ndio ihangaike na hao.

Watoto ambao wanaishi na mmoja kati ya wazazi wake binafsi sioni kama ni tatizo kubwa kama la wale wa mitaani ambao kula kulala kutibiwa hawana wa kuwasaidia.

Naomba tujadili.
 
Wew si mzalendo unapinga kauli ya naibu raisi tukutane sentro
 
Sipingi mkuu najaribu kuwaonea huruma wale Watoto ambao kula kulala kuvaa na kutibiwa ni wao
 
Back
Top Bottom