Septem
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 313
- 404
Sijawahi 'muamini' ZZK. Ni muasis wa hoja nyeti sana katika nyakati ambazo anahitaji kutengeneza trust ya wananchi na Upinzani. Jamaa ni msomi, na 'intelligent'. Anajua kusoma mazingira, anajua kusoma madhaifu ya 'upinzani mkuu'.
Leo hii kuna bunge la budget linaendelea, mara zote nyakati za budget huibuka issues za 'kipuuzi' zinazoondoa focus ya wananchi kwenye budget.
Ndio, kiuhasibu 1.5 tril inamiss kwenye mahesabu ya serikali, hakuna mahala iliposemwa kua zimeibiwa. So haujathibitika kuitwa ufisadi.
Lakini bwana ZZK ameishikilia bango, na chama chake kimepata credibility kubwa, ndio! Hili lote linaondoa focus ya bajeti na kuhamia kwenye 1.5 tril.
Serikali inajibu kisiasa, ndio sababu inapenda mjadala huu uendelee. Uendelee sbb ni faida kubwa sana kwake! Faida ya kuepusha mjadala wa budget na kua ni 1.5 tril
Sijawahi Muamini ZZK