Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,785
Huyu ni Mwenyekiti wa chadema F.Mbowe, hachaguliwi na Wanachama na wala hawezi kuondolewa kwani hakuna anayejua jinsi ya kumuondoa, dawa ni kumkatia hela zetu ili aendeshe lichama lake kwa hiyo michango ya hao Wabunge wajinga wanaokubali kukatwa Mshahara wao kuendesha maisha ya Mwenyekiti wa Chama na Familia yake, ...