Naam watu wameshuka kiringeni.
zoezi la kuwatafutia huduma na kuwatambua wazazi waliotelekeza watoto wao lililoanza mapema mwezi huu limehitimishwa.
Mwanzoni kabisa mwa kampeni hii iliyojaa...
Ni neno maarufu sana katika uzuiaji maandamano, ni neno ambalo limeweza kuzima kabisa maandamano ya Mange, ukali na sura ya ujasiri na kuongea kwa utashi alikotumia RPC wa Dodoma kuliweza kabisa...
Naomba maelekezo ya namna ya kuwa mzalendo kwenye makato ya adhabu 7% juu ya ile 8%
Naomba mnifundishe hapa nakuwaje mzalendo kwasasa Napokea mshahara 176000 mnanikata 143000 naomba mnifundishe...
Mwenyekiti wa Bunge, Mussa Azzan Zungu amemtaka Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe atakapokuwa akijibu hoja za wabunge zilizotolewa katika mjadala wa bajeti hiyo...
Habari zenu wana JamiiForums,
Nimekuwa nikijiuliza sana siku nyingi kama maisha ya hapo Bongo ni magumu, vipi maisha ya nchi ambazo zimeendelea?.
Kuna watanzanis wengi sana wanakaa nchi za nje...
Nimekuwa nikifuatilia mno vipindi vyake ktk radio wapo nimegundua jamaa anaupeo mkubwa mno na pia ikiwa vijana wote wangelifahamu mchango wa maneno anayowafundisha vijana ktk semina zake zote basi...
Wadau nataka kwenda rwanda kutafuta maisha maana maisha ya tanzania yamenishinda kila ninachofanya naona kimekuwa kigumu nataka kwenda kutafuta maisha.
Kwa wale mliowahi kufika hebu nisaidie...
Wanaume 200 wa mkoa wa Dar es Salaam, wameripoti katika Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa huo, Paul Makonda, kulalamika kutelelekezwa na wake zao.
Chanzo: NIPASHE
Mabaki ya mguu mmoja na kipande kidogo cha utumbo wa anayeaminika kuwa mtoto wa miaka sita mkazi wa Mwaniko wilayani Misungwi mkoani Mwanza, Martha Saimon, aliyeliwa na fisi yamezikwa leo kijiji...
Hodi Hodi wana JF
Nliimiss sana JF mwezi nzima Niko BANNED kwa Uchochezi
Tuache uchochezi jamani haufai,yani uchochezi ni kama ramli chonganishi utagombanisha watu
Thanx Mods kwa hukumu yenu...
Wasalaam wana jamvi.
Kwanza nichukue wasaha huu wa kupongeza sana zoezi la Mh Makonda la kuwasiadia wanawake waliotelekezwa na wamezao wakiwa na watoto bila matunzo yeyote.
Zoezi hili ni...
Nimemsikia Mhe. Mbunge Mlinga akipangua hoja kuwa ile ndege ay Emirates iliyotua kwa dharura JNIA aina ya airbus A380-800 ni ndege kubwa ya kwanza kutua katika uwanja huo. Mhe. amejitahidi kuwa...
Jeshi la Polisi mkoani Mtwara linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kumiliki silaha bila kibali.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 27, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, DCP Lucas...
Jana wali mwingi sana ulimwagwa pale uwanjani ( katika pitch ) ya Uwanja wa Jamhuri Dodoma wakati wa Maonyesho ya wale Askari wa Magereza pamoja na ' Wafungwa ' Feki wao, Je ni akina nani wataenda...
Kumekuwa na hamasa ya maandamano kuelekea tarehe Aprili 26, 2018(kesho) ambayo ni siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, watu wakihamasishana kupitia mitandao ya kijamii yakiratibiwa na...
Mimi niliyakariri sana maneno haya yafuatayo na mpaka sasa siyasahau kiasi kwamba kila ninapokuwa na Watu ' Vijiweni ' huwa napenda sana kuyatamka ili na Wao wanione Mimi sikukimbia ' umande '...
Kwa watumishi wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi, mfumo wa utumishi portal kipengele cha kubadilishana kituo, kilikuwa kinasumbua hasa sehemu za kuingiza mkoa na wilaya zimefungukiliwa.Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.