kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,224
- 1,687
Wanaume 200 wa mkoa wa Dar es Salaam, wameripoti katika Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa huo, Paul Makonda, kulalamika kutelelekezwa na wake zao.
Chanzo: NIPASHE
Chanzo: NIPASHE
Huu ni upande wa pili wa shilingi, matatizo ya watu wawili huanzishwa na mmoja wao bila kujali jinsia, waliotelekezwa ni watoto.Wanaume wa Dar sijui wanawazaga nini
Haki za watoto ndizo zinatafutwa, watoto waliofikishwa kwa mkuu wa mkoa na wanawake ni sawa na watoto hawa waliofikishwa na wanaume. Huu ndio utamu wa shughuli yenyewe.Mwanaume kulia lia ni ushoga
Haina mashiko ukilinganisha na mwanamke...Lakin tutafanyaje wameshaenda acha waendeHaki za watoto ndizo zinatafutwa, watoto waliofikishwa kwa mkuu wa mkoa na wanawake ni sawa na watoto hawa waliofikishwa na wanaume. Huu ndio utamu wa shughuli yenyewe.
Nia ni kuonyesha kuwa matatizo ya kutelekeza watoto hayapo upande mmoja tu kama yalivyopikwa kuwalenga watu fulani kisiasa, hili ni tatizo kwa pande zote mbili za jinsia.Hivi Mwanaume ukilia umetelekezwa then unakua unataka nini hasa?
1) Mkeo/Mwanamke wako arudi muishi tena kama zamani mlee mtoto hata kama sasa ana mtu mwengine,
2) Mkeo awe anatoa matunzo kwa mtoto,
3) Mkeo amchukue mtoto wake akaishi nae yeye,
Mkuu,Nia ni kuonyesha kuwa matatizo ya kutelekeza watoto hayapo upande mmoja tu kama yalivyopikwa kuwalenga watu fulani kisiasa, hili ni tatizo kwa pande zote mbili za jinsia.
Mi mwenyewe sipati jibu kwa mwanaume kulalamika umetelekezwa lengo lake hasa ni nini?, wanaume wa dar nilijua wanataniwa tu, haingii akilini mwanaume unafunga safari kwenda kulalama eti umetelekezwa na mambo mengine ya kutia aibu kwenye jamii, wanaume wa dar nyie ndo kichwa cha familia jambo likikukuta tumia uwezo wako kukabiliana nalo, kama alivyouliza unalalamika unataka ukaishi alikoenda kuolewa mkeo? ama unataka huyo mtoto akalelewe na mwanaume mwenzio?, wewe uliyemzaa utapelekaje huduma kwenye ndoa ya mwenzio?,. Jitahidini kuwa wasiri na kukubari matokeo kulalamika kunawatosha wasio kichwa cha familia.Hivi Mwanaume ukilia umetelekezwa then unakua unataka nini hasa?
1) Mkeo/Mwanamke wako arudi muishi tena kama zamani mlee mtoto hata kama sasa ana mtu mwengine,
2) Mkeo awe anatoa matunzo kwa mtoto,
3) Mkeo amchukue mtoto wake akaishi nae yeye,