Ni kweli watanzania wanaoishi Ulaya wanakula bata?

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,228
Reaction score
1,264
Habari zenu wana JamiiForums,

Nimekuwa nikijiuliza sana siku nyingi kama maisha ya hapo Bongo ni magumu, vipi maisha ya nchi ambazo zimeendelea?.

Kuna watanzanis wengi sana wanakaa nchi za nje vipi wao suala la maisha ni jepesi kwao au inakuwaje.Mtu anakuambia maisha magumu Bongo, ngoja niende Ulaya.

Lakini najiuliza hapa hata mchicha utakula wa jalalani maisha magumu na mambo hayaendi vipi wanaoishi Ulaya wenzetu au mambo yao safi na Serikali za kule zinawapatia raia wetu mahitaji ya muhimu au na wenyewe ni wasakatoke kama sisi huku Afrika.

Ni kweli maisha ya Ulaya ni mazuri? Au magumashi maana unakuta mtu hana ajira hapa lakini anataka kwenda Ulaya ambako kila kitu ni under machine.Vipi hapo.
 
Hakuna pahali ama Nchi yeyote enye maisha mazuri pasipo kufanya kazi, maisha mazuri ni kujituma kufanya kazi tu na si vinginevyo, tofauti iliyopo abroad mfano ulaya ni kipato kwamba mtu akiwa mwenye kujituma basi anaweza kufanya kazi sehemu zaidi ya moja na kama ni mtulivu anaweza ku make.
 
Kwa hiyo kazi ni rahisi kupata ukiwa kule eeh
 
Habari zenu wanajamii forum
Nimekuwa nikijiuliza sana siku nyingi kama maisha ya hapo bongo ni magumu, vipi maisha ya nchi ambazo zimeendelea?.Kuna WATANZANIA wengi sana wanakaa nchi za nje vipi wao suala la maisha ni jepesi kwao au inakuwaje.Mtu anakuambia maisha magumu bongo, ngoja nisepe ulaya.Lakini najiuliza hapa hata mchicha utakula wa jalalani maisha magumu na mambo hayaendi vipi wanaoishi ulaya wenzetu au mambo yao safi na serikali za kule zinawapatia raia wetu mahitaji ya muhimu au na wenyewe ni wasakatoke kama sisi huku Afrika.Ni kwel maisha ya ulaya ni mazuri?? au magumashi maana unakuta mtu hana ajira hapa lakini anataka kwenda ulaya ambako kila kitu ni under machine.Vipi hapo
Kwani hukuona zile video za waliojitokeza juzi kwenye balozi zetu walivyojichokea? hali ngumu kule watu wanashindia kipande cha mkate!!! ni usawa wa kuzibua vyoo, kufua nguo za kambi za wazee na walemavu kwa ujira mdogo
 
Dah hali kama ndio hiyo ngoja nibaki tu hapa kyela niendelee na kazi zangu za kulima mpunga
 
Kwa hiyo kazi ni rahisi kupata ukiwa kule eeh
Ndugu yangu hali ngumu ni popote duniani hakuna Nchi yenye maisha mepesi bila ya kufanya kazi. Kupata kazi Ulaya pia si jambo lele mama kwa sababu Nchi za ulaya pia zimekuwa overloaded na wageni, ila ukibahatika ukapata kazi basi ahueni unaweza kuiona Ingawa pia si kivile
 
Lakini wanatamba sana wakirudi bongo
 
Kwani hukuona zile video za waliojitokeza juzi kwenye balozi zetu walivyojichokea? hali ngumu kule watu wanashindia kipande cha mkate!!! ni usawa wa kuzibua vyoo, kufua nguo za kambi za wazee na walemavu kwa ujira mdogo
Umeongozwa na hasira pia chuki kwa walioko huko kazi ni kazi tu hata bongo wazibua vyoo wapo na wanapata riziki zao kwa kazi hiyo wala Uhasibu au kazi yako U Dr haiwasaidii, kuna vijana Tz hapa wanashindia kipande cha kashata moja na kajikombe ka kahawa its all about life kaka then penda kujenga hoja ama kutoa mawazo ambayo siyo weak kiasi hiki
 
Maoni yake mkuu usimpinge,lakini tungewaambia wazibue vyoo hapa bongo wangekataa,naona kule wanakupendea ufahari tu nilikuwa majuu,mawazo tu lankini
 
Habari zenu wanajamii forum
Nimekuwa nikijiuliza sana siku nyingi kama maisha ya hapo bongo ni magumu, vipi maisha ya nchi ambazo zimeendelea?.Kuna WATANZANIA wengi sana wanakaa nchi za nje vipi wao suala la maisha ni jepesi kwao au inakuwaje.Mtu anakuambia maisha magumu bongo, ngoja nisepe ulaya.Lakini najiuliza hapa hata mchicha utakula wa jalalani maisha magumu na mambo hayaendi vipi wanaoishi ulaya wenzetu au mambo yao safi na serikali za kule zinawapatia raia wetu mahitaji ya muhimu au na wenyewe ni wasakatoke kama sisi huku Afrika.Ni kwel maisha ya ulaya ni mazuri?? au magumashi maana unakuta mtu hana ajira hapa lakini anataka kwenda ulaya ambako kila kitu ni under machine.Vipi hapo
Ndyoo ni marahis kdogo maana huku kutupa chakula mpaka Kioze ndo mtupe kama sio kukpasha ,ila kule kkipikwa kkbaki kinatupwa mida iyo iyo.na mikate pia wala hawaifadhi kama huku bongo,kwa iyo ndugu zetu wakienda jalalan kuokota misos unakuta fresh tuu
 
Ni wewe huyu?
108983.jpg
 
Maoni yake mkuu usimpinge,lakini tungewaambia wazibue vyoo hapa bongo wangekataa,naona kule wanakupendea ufahari tu nilikuwa majuu,mawazo tu lankini
Kuzbua vyoo kule naisi huwez kuta bei sawa na hapa bongo Mara buku 5 au saba, waacheni waende tu
 
Back
Top Bottom