Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,712
- 8,769
Hodi Hodi wana JF
Nliimiss sana JF mwezi nzima Niko BANNED kwa Uchochezi
Tuache uchochezi jamani haufai,yani uchochezi ni kama ramli chonganishi utagombanisha watu
Thanx Mods kwa hukumu yenu nimejirekebishaaaa