Jeshi la polisi lipo kimkakati kukwepa kuwa wao ndiyo wauaji wakuu wa Suguta aliyechomwa kisu na askari wa doria.
Wanadai askari alikuwa na ugomvi binafsi na marehemu suguta wakasahau kuwa...
TAMKO limeandaliwa ili kusafisha tuhuma zinazomkabili Dk. Alex Malasusa, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania, (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP), anaandika Josephat Isango...
Habari wakuu,
Moja kwa moja nianze na mada husika hapo juu.. jana ilikuwa ni semina ya Mwl. Mwakasege kwa wanaume wote pale mbezi beach KKKT. Nami nilikuwepo kwenye hiyo semina na kuna mambo...
Mabasi za mwendokasi muda huu walifungiwa geti na wananchi wenye hasira kali baada ya kusubiria mabasi za mwendokasi kwa zaidi ya lisaa....wananchi waliimba "Tunamtaka Makonda" polisi waliishia...
Leo wakati nafanya manunuzi mtandaoni nimeshangaa kukuta dola imepanda dhidi ya shillingi
Hii itawaathiri wanaonunua bidhaa mtandaoni au hata kwa dollah
Kutoka shillingi 2240 mpaka 2285 ni hatari...
Habari wana jamvi?
Nimebahatika kuona wenzetu katika nchi nyingine wanavyotumia mbinu mbadala kusafirisha umeme na kuwafikia wananchi/Wateja wao.
Ombi langu kwa TANESCO waige/wajiongeze kwenye...
If numbers in Mathematics were given an opportunity to speak, I think some were going to accuse zero and one. But why accusing zero and 1. Relax.
Any number that is multiplied by zero gives zero...
Habari za mapumziko Jf.
Naelewa watu wengi duniani pote technolojia ya Television na computer zimebadiri kabisa maisha ya watu kuwa bora kabisa.
Dunia imekua kijiji, yanayotukia ktk ukanda wa...
Poleni na majukumu kama kichwa kinavyojieleza kwa wajuzi wa technology kama ilivyo TV station hivi Hakuna kifaa kama dish ambacho kinacombine radio zote za Tanzania almost kinakuwa kinaradio zaidi...
Wanabodi,
Nimejiuliza maswali mengi sana kuhusu jf ilipoanzishwa.
kwakua mimi ni junior member na sikuwepo humu mambo yalipokuwa yanaanza
Sasa wale legendary wa humu, tujuzeni namna mambo...
Kuna makato yameingizwa kinyemela/kimyakimya ya asilimia 1.1 ambapo kwa sasa ukinunua umeme kupitia wakala yoyote yule mfano tigo pesa ukinunua umeme wa 10000 ada yake 110 ikiwa na maana umeme...
Masalia ya Mafisadi bado yapo na ndo maana Mangi Kimambi ametikisa lkn ukweli ni kwamba hili kilikuwa ni moja ya mateke yao mwisho wengi wao kama akina Tundu Lisu tayari wako chali ndo maana hata...
Rais John Magufuli akisalimiana na Mhe Paulina Gekul Mbunge wa Jimbo la Babati mjini (Chadema) siku ya uzinduzi wa Barabara ya Dodoma - Babati yenye urefu wa 251 km
Hongera sana Mh Mbunge kwa...
Zimbabwe imehalalisha ukuzaji wa bangi kwa madhumuni ya dawa na shughuli za kisayansi, na kuifanya nchi hiyo ya Afrika kutokuwa ya kawaida kugeuza bangi kuwa chanzo cha mapato.Taarifa ya serikali...
Jamani juzi nilisikia waziri mmoja akiwa bungeni akasema, majuto anaumwa yuko kitandani natoa hela zangu mfukoni namuuguza Wakati kuna makampuni makubwa kabisa yamemtumia huyo mzeee halafu Leo...
Dhambi ambayo zaidi kuliko zote baada ya UOGA, basi dhambi inayofuata ni USALITI.
ASKOFU ALEX MALASUSA WA KKKT na DADY IGOGO WA CHADEMA wote wamezinyea kambi zao. Mwacheni #MUNGU wetu alie juu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.