Maandamano ya Aprili 26, 2018: Yanayojiri kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi

Status
Not open for further replies.

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,801
11,961
Kumekuwa na hamasa ya maandamano kuelekea tarehe Aprili 26, 2018(kesho) ambayo ni siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, watu wakihamasishana kupitia mitandao ya kijamii yakiratibiwa na mwanadada MangeKimambi | Soma > Hisia na hamasa za Maandamano nchini: Mapokeo, Mitazamo na Uhalisia (Viongozi na Wananchi).

Viongozi mbalimbali wa kiserikali na Vyombo vya Dola wamekuwa wakiyapiga marufuku maandamano hayo kwa kuyaita 'maandamano haramu’. Rais Magufuli alisema ''Ole wake atakayeandamana, kama kuna baba zao wanawatuma, watakwenda kuwasimulia vizuri''. Hii kauli inaashiria kwamba maandamano hayana baraka ya Serikali.

Je, kuna lolote litatokea au kutakuwa kimya? Tutarajie nini? Kupitia bandiko hili, nitakuwa naweka kinachojiri kuhusiana na maandamano nchini na nje ya mipaka ya nchi.

Tufuatane kwa updates:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom