Nani ana jukumu la kuokota ule ' Ubwabwa ' wa Askari Magereza waliouacha pale Dodoma Stadium jana?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,542
108,877
Jana wali mwingi sana ulimwagwa pale uwanjani ( katika pitch ) ya Uwanja wa Jamhuri Dodoma wakati wa Maonyesho ya wale Askari wa Magereza pamoja na ' Wafungwa ' Feki wao, Je ni akina nani wataenda ama kuula au kuuokota kwali ulimwagwa mwingi sana na unaweza ukawafaa wale wasiokula Wali / Ubwabwa siku nyingi.

Nawasilisha.
 
Walimwaga wali!? Kwa nn?
 
Kuna kitu unakitafuta na utakipata muda si mrefu.
Alokwambia wale ni wafungwa feki ni nani?
 
Una uhakika hakukuwa na taratibu zozote zilizofanywa baada ya shughuli za kuuacha uwanja katika hali nzuri ?
 
Jana wali mwingi sana ulimwagwa pale uwanjani ( katika pitch ) ya Uwanja wa Jamhuri Dodoma wakati wa Maonyesho ya wale Askari wa Magereza pamoja na ' Wafungwa ' Feki wao, Je ni akina nani wataenda ama kuula au kuuokota kwali ulimwagwa mwingi sana na unaweza ukawafaa wale wasiokula Wali / Ubwabwa siku nyingi.

Nawasilisha.
Changugu
 
Achaa kutishaaa watu we chalii,,,MTU yeyote anayohaki yakuongea au nakuelezeaa perception anazozijua yeye,this is a free forum where we dare to talk openly so achaa kutishaaa watu
We dare talk or we dare to talk, viingereza vingine bwana! Full Bashiteism
 
Jana wali mwingi sana ulimwagwa pale uwanjani ( katika pitch ) ya Uwanja wa Jamhuri Dodoma wakati wa Maonyesho ya wale Askari wa Magereza pamoja na ' Wafungwa ' Feki wao, Je ni akina nani wataenda ama kuula au kuuokota kwali ulimwagwa mwingi sana na unaweza ukawafaa wale wasiokula Wali / Ubwabwa siku nyingi.

Nawasilisha.
Mbwa koko
 
Back
Top Bottom