Taja maneno ya Kitaaluma uliyoyakariri ulipokuwa Chuoni hadi sasa unafanya Kazi hapo ulipo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,466
108,621
Mimi niliyakariri sana maneno haya yafuatayo na mpaka sasa siyasahau kiasi kwamba kila ninapokuwa na Watu ' Vijiweni ' huwa napenda sana kuyatamka ili na Wao wanione Mimi sikukimbia ' umande ' halafu nipo nondo kweli kweli Kichwani:
  1. Feasibility Study
  2. Detailed Design
  3. Construction
  4. Chemical Reactions
  5. Drip
  6. Litre 1.5 Trillion of Water
  7. Stiglers Gorge
Karibu na Wewe uweke maneno yako ya Kitaaluma ambayo hadi leo huyasahau na unapenda mno kuyatumia mbele za Watu ili usionekane kama hujasoma au na Wewe uwatishe ' Kimtindo ' kusudi wasikuletee dharau au muweze kwenda sawa vile vile.

Nawasilisha.
 
Aaaaaaah ngoja mi niwahi siti tu mana sitaki lawama sems leo mtaani kuna muvi mpya wale vijana wa kaki wanafanya feasebility study mtaani leovmuvi mpya.
 
Back
Top Bottom