Mahubiri ya Mchungaji Peter Mitimingi ni hazina kwa vijana na watanzania kwa ujumla

Tanye

Senior Member
Apr 9, 2014
107
18
Nimekuwa nikifuatilia mno vipindi vyake ktk radio wapo nimegundua jamaa anaupeo mkubwa mno na pia ikiwa vijana wote wangelifahamu mchango wa maneno anayowafundisha vijana ktk semina zake zote basi baada ya miaka mitano ijayo nchi yetu itakuwa imejaa watu wenye uwezo mkubwa wa kuchanganua mambo yao bnafsi na migogoro ktkt jamii zetu zingefutika kwani tungefanikiwa kwa kila hali kiuchumi na kiafya .

Kwani kwasasa nimegundua watanzania hatusumbuliwi na kwenda shule au kuwa na vyeti mbali mbali vikituonyesha uhodari wetu tulipopita kielimu bali kinachotusumbua ni kuelimika ndio maana leo hii huwezi mtofautisha mtu aliesoma hadi chuo kikuu na kijana ambae hakubahatika kwenda shchuo kikuu kimaamuzi.

HIVYO BASI VIJANA TUUNGANE KUJISOMEA NA KUSIKILIZA VIPINDI BORA VINAVYOTUONGEZEA MAARIFA NA SIKUPOTEZA MDA KWA MAMBO YASIO NA MSINGI.HONGERA SANA PASTOR PETER MITI MINGI KWA KUELIMU UITOAYO KWA VIJANA BUREEEE.UBARIKIWE ZAIDI
 
Anamafundisho mazuri sana,usipo mwelewa ww basi utakuwa na matatzo tu sio bure.jamaa yupo vizuri yaan ni mwalimu mzuri kwa kweli.
 
Nimekuwa nikifatilia mno vipindi vyake ktk radio wapo nimegundua jamaa anaupeo mkubwa mno napia ikiwa vijana wote wangelifahamu mchango wa maneno anayowafundisha vijana ktk semina zake zote basi baada ya miaka mitano ijayo nchi yetu itakuwa imejaa watu wenye uwezo mkubwa wa kuchanganua mambo yao bnafsi na migogoro ktkt jamii zetu zingefutika kwani tungefanikiwa kwa kila hali kiuchumi na kiafya .

Kwani kwasasa nimegundua watanzania hatusumbuliwi na kwenda shule au kuwa na vyeti mbali mbali vikituonyesha uhodari wetu tulipopita kielimu bali kinachotusumbua ni kuelimika ndio maana leo hii huwezi mtofautisha mtu aliesoma hadi chuo kikuu na kijana ambae hakubahatika kwenda shchuo kikuu kimaamuzi.

HIVYO BASI VIJANA TUUNGANE KUJISOMEA NA KUSIKILIZA VIPINDI BORA VINAVYOTUONGEZEA MAARIFA NA SIKUPOTEZA MDA KWA MAMBO YASIO NA MSINGI.HONGERA SANA PASTOR PETER MITI MINGI KWA KUELIMU UITOAYO KWA VIJANA BUREEEE.UBARIKIWE ZAIDI

yupo kila lini na saa ngapi
 
Jamaa nilimwona Kampala kwenye hoteli moja, in fact alikuwa akizama chimbo na dada m1 Librarian wa Ardhi university, sikuamini. Ni m.tombaji kiaina.
 
jamaa yupo njema ila hawezi gusa anga za gamanywa na mwakasege

Yap yupo vizuri sana!
Mwakasege level yake ya juu sana mkuu.
Hao wote huwa wanakuja kumsikiliza Mwakasege!

Though ulimwengu wa Roho kila mtumishi ana kitu tofauti, tofauti na mwingine kihuduma bt kuna deep, deeper n deepest.
 
Back
Top Bottom