Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,349
- 6,476
Nimemsikia Mhe. Mbunge Mlinga akipangua hoja kuwa ile ndege ay Emirates iliyotua kwa dharura JNIA aina ya airbus A380-800 ni ndege kubwa ya kwanza kutua katika uwanja huo. Mhe. amejitahidi kuwa objective kwa kutumia vigezo vitavyokubalika na vyenye vipimo vunavyo kubalika, mfano, ukubwa na urefu. Amelinganisha ndege ya Antinov iliyoleta mitambo ya umeme na hii Airbus A380.
Kwa mujibu wa uchambuzi wake na njia aliyotumia, ni dhahiri A380-800 sio ndege kubwa ya kwanza kutua JNIA.
Sikiliza hoja (argument) ya kuwa ni ndege kubwa ya kwanza kutua JNIA hapa kutoka kwenye credible source.
Hoja panguzi (counter-argument) ya Mhe. Mbunge Mlinga hii hapa.
Wapi hoja ya Mhe. Mlinga ina mapungufu? Ni hapa kuwa, Mhe. Mlinga angeweza kwenda zaidi na kusema kuwa hata duniani, bado sio ndege kubwa.
Halafu pia, Mhe. Mlinga angeweza kusema, labda kama huyo mtoa hoja angesema kuwa kigezo ni ndege ya abiria na kipimo cha idadi ya abiria badala ya kusema tu 'ndege kubwa duniani na kutua JNIA kwa mara ya kwanza'.
Namna hii ya kupinga na kuwasilisha hoja ndio tunaihitaji Tanzania - iwe kwa raia, iwe kwa serikali au baina ya pande hizi mbili.