Ni wapi nitajifunza Karate mkoani Dodoma?

Ni wapi nitajifunza Karate mkoani Dodoma?

martial arts

Senior Member
Joined
Jun 26, 2014
Posts
191
Reaction score
100
Ni sehemu gani ndani ya mkoa wa Dodoma kuna 'dojo' nzuri kwa ajili ya mafunzo ya Shotokan Karate?

Msaada tafadhali..
 
nenda UDOM kuna kitu kinaitwa Confucious Institute kule college of Humanities ( wao huita bondeni) hapa kuna mafunzo juu ya utamaduni wa kichina ikiwemo kujifunza lugha ya kichina, vyakula, karate na mengne meengi yahusuyo Uchina. gharama hapa hua ni muda wako tu hakuna pesa ila baada ya mafunzo kuna mitihani na ukifaulu vizuri jiandae kwenda China.
 
Shotokan una mapigo ya kizamani ila kuna mchezo unaitwa Ashiara huu una mapigo ya kisasa unapokabiriana na adui anyway goodluck katika kutafuta dojo
 
Siku Hizi Kila Mtu Anataka Ajifunze Mapigano, huku mtaan kwetu Husijiroge Ukamchukulia Poa Mtoto Mdogo!
 
Hata uwanja wa vijana napo wanatoa hyo hudumaa...

Ulizia Uwanja wa vijana "Area C"
 
Back
Top Bottom