Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wizi umeripotiwa kutokea katika duka la StarTimes Mikocheni jijini Dar es salaam na kusababisha baadhi ya wateja kukosa huduma. Wakizungumza na TBC baadhi ya wateja wa StarTimes wameshangaa...
1 Reactions
113 Replies
12K Views
Wana jamvi vipi kuhusu uunganishaji wa mifuko ya hifadhi ya jamii imefikia wapi, nasikia kuna mifuko mpya unaitwa psssf. Kama upo tayari vipi kwa sasa MTU anayepatwa na janga anaudumiwa na mifuko...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Heshima zenu wakuu. Natarajia kusafiri wiki ijayo kwa Treni ya Tazara kuelekea Makambako. Naomba kujua kwa wenye uzoefu wa treni hiyo. 1. Kuna mgahawa ndani ya treni? 2. Kuna vyoo? Vipo kwa...
0 Reactions
0 Replies
998 Views
Za jion va'ndg! Mwenzenu ni mtumishi wa sekta binafsi lkn nmekua nkijihusisha na shughuri za ujasiriamali hasa kwa kununua nafaka kwa bei nafuu msimu wa mavuno toka kwa wakulima na kuja...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kama ule mzaha ulivyofanyika kwenye sukari kwa madai kwamba zinafanyika juhudi za kushusha toka 1800 per kilo matokeo yake wavurugaji na wakurupukaji wakafikisha 2800 hadi 3000 per kilo kisha...
9 Reactions
73 Replies
10K Views
Dhumuni la Uzi huu ni kuweka rekodi sawa Na usiunganishwe na Uzi mwingine wowote kwani una maudhui yanayojitegemea. 26/04/2018 Kijana Suguta Chacha ameuawa kwa kuchomwa kisu na Polisi waliomkamata...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu salaam, Nianze kwa kusema hivi, Mungu karuhusu tuwe tofauti kwa vitu vingi ili tuweze kuishi kwa kutegemeana na kufaidiana. Humu JF kuna watu wa kila aiana, wapo professional, wapo watu...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Ndugu wana jamvi, Naomba kuelimishwa. Hivi ni kwanini wahamiaji wengi haramu wanaopita Tanzania kwenda Afrika ya Kusini wanatokea Ethiopia, ilihali hali yao ya amani, machafuko na/au uchumi si...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
mwaka flani nilikuwa nasoma Udsm nikifanya Masters. mimi ni mmoja ya watu wachache waliobaki wenye uasili wa Elimu ya UDSM ya miaka ile ukiacha hii ya dot com aliyokuja kuiharibu kikwete. ni miaka...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
1.Kampeni ya kujenga ofsi za walimu 2.Kero za wakazi wa Dsm 3.Madawa ya kulevya 4.Omba omba kuondoka Dsm 5.Wanawake waliotelekezwa na waume zao 6.Wanaume kupimwa tezi dume.
1 Reactions
1 Replies
675 Views
Ukweli ni kwamba Itikadi za siasa zimekula uwezo wa kufikiri wa Vijana wasomi wengi sasa wamekuwa mapoza na wasio na faida kwa Taifa hasa kwa kuwa kila jambo kwao hutanguliza itikadi ya vyama vyao...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za jioni wadau! Kuna jambo limekuwa likiendelea kwenye huu mradi wa magari yaendayo kasi ama kwa jina maarufu ni mwendokasi "Mwendo kasi" na limepelekea hata baadhi ya watumiaji wa hayo...
1 Reactions
5 Replies
899 Views
Wakati mwingine, kama sio wakati wote, kwa baadhi ya mataifa duniani;uwepo wa amani na utulivu katika mataifa hayo kuna weza kuwa ni matokea ya watu katika mataifa hayo kutowaza sawa sawa; na...
1 Reactions
3 Replies
882 Views
USHAHIDI wa kesi inayomkabili mwanafunzi, Abdul Nondo umeendelea kutolewa kwa upande wa Jamhuri kupeleka mashahidi wengine wawili kati ya wa nne. Miongoni mwa mashahidi waliotoa ushahidi...
5 Reactions
76 Replies
13K Views
Watu wawili wamefariki dunia baada ya boti waliyokuwa wakitumia kusafiria kupinduka. Ilipokumbwa na dhoruba kali katika ziwa Victoria, Sengerema jijini Mwanza. Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Matatizo ya polisi yamekua yakisemwa sana na RAIA hasa katika mahusiano yao ya kijamii. polisi amekua kama adui mbele ya umma ,polisi huonekana ni mwenye jeuri,kiburi na mwenye kujivuna na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Bado sijaamini na sitaki kuamini ila kuna ' Nyeti ' nimezipata na bado naendelea kuzithibitisha kwa hizi Sheria mpya za Mtandao na malipo yake ambapo pia unaweza ukalipia Pesa yote lakini usipewe...
54 Reactions
246 Replies
23K Views
Nawaomba wananchi Wa Tarime msichukue sheria mkononi badara yake muwaachie wafanye upelelezi wao.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nakumbuka kilindi niko kijijini mi mdogo kiasi kama miaka 11hadi 14 nilikuwa mtundu sana sasa kwa kule kijiji kipindi cha shughuli kama kipaimara au harusi au send off au shughuli yeyote ile ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom