Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Unapita sehemu unakuta Nyumba nzuri geti kali lakini cha kushangaza unakutana na bango limechapishwa na kubandikwa kwenye geti TUNAUZA ICE CREAM. Basi unabaki kujiuliza tu ice cream shilingi mia...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna haka katabia cha kutumia ndoo na kopo la kuogea kupigia mswaki Kwa kweli hii tabia inanikwaza sana. Mnaofanya hivyo badilikeni aisee. Hata kuweka mswaki juu ya mlango wa bafuni sio usafi kabisa
16 Reactions
183 Replies
19K Views
Habari za muda huu wanabodi Ningependa kutoa rai yangu kwa taasisi inayoshughulika na maswala yote ya usafiri hususani kwenye barabara hii tajwa. Unakuta wenye magari mbali na kujua kwamba njia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waandishi wa habari vituo vya television Tanzania wengi wenu hamzingatii ubora kabisa. Mosi; Picha mnazotuonyesha ni chafu,zimefifia yaani sio HD hazivutii kabisa. Pili; Wengi hamuwezi kufanya...
6 Reactions
45 Replies
3K Views
Katika pitapita zangu mitandaoni hasa hapa JF, nimeona utapeli wa namna mbalimbali. Baadhi ni online marketing kupitia makampuni hewa, kuunganisha chanel kwenye ving'amuzi, kubadili line kuwa za...
2 Reactions
4 Replies
5K Views
Kuna ajali Taifa barabara ya Mbagala imemwaga watu Baada ya kukatika Centre Bolt.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Na Tanzania daima 06.11.07 Imeelezwa kwamba makampuni inayoingia mkataba na Tanzania kuhusu utafutaji wa mafuta hujigharamia yenyewe pasipo kulipwa fedha yoyote kutoka serikalini. Naibu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
...Kumradhi 'wataoguswa ndipo', lakini na maswali yangu kadhaa; ...hivi ni kwanini watu wafupi 'wengi' wanakuwa wabishi, wakorofi, wagomvi? ...au ni mgongano tu wa mawazo?
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari wana jamii wenzangu naomba msaada kuhusu hizi emails za immigrants huwa ni issue za kweli maana huwa nataka kulipia hizo form lakini nasita mwenye kujua anifahamishe. Nataka kuhama Nchi
0 Reactions
2 Replies
812 Views
Wakuu nimeshindwa kuona mahali ambapo nitaandika thread mpya natumia jf app naomba kuelekezwa wakuu @mkwawa,Miss Natafuta
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Salama lakini wanaJF? Hivi watanzania wanaoishi Moscow/Urusi wapo humu? Mimi na shemeji yetu tunatataka kwenda Russia kutumbea kwa wiki 1 (kiutalii). Tunatarajia kukaa Moscow, vipi mambo ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
jana nimepita katika stendi ya mbezi mwisho nikahitaji ku attend call of nature,sikutegema kama nitakutana na bei ya tsh 500/=.Nimeshangaa sana hizi bei. nimeshangaa kwa sababu zifuatazo 1.Hii ni...
0 Reactions
1 Replies
955 Views
Moi, Alikuwa polisi akapata chansi ya kuingia Finland 2008. Alitupa magwanda na alipofika Finland akajilipua (kuomba hifadhi ya ukimbizi). Tatizo lake hakutulia. Alikuwa anaiba sana supermarket...
2 Reactions
36 Replies
7K Views
Kwanza nianze kwa kutoa pole kwa familia ya Suguta ambayo imepata msiba wa kijana wao. Nikiri pia kuifahamu familia ya Heche kwa sababu tunatoka maeneo ya karibu nyumbani ni kijiji cha Nyabisaga...
21 Reactions
116 Replies
13K Views
Great
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mungu ndo muweza yote yeye ndo kila kitu katika uso wa dunia na ulimwengu. Hakuna amtumainiye akapotea. KUT 3;14, Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO;akasema,Ndivyo utakavyowaambia wana...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa kipindi kirefu nilikua najiuliza na kutamani mastaa kutumia mtandao wa JamiiForums Nilipenda sana kuwaona kina; @Alikiba diamond platnumz wema sepetu shilawadu @Mr blue *@Rais wetu* Na...
3 Reactions
91 Replies
7K Views
wakuu habari zenu , kama kichwa cha habari hapo juu .naomba munieleweshe kuhusu hizi bus za india uzuri wake na ubaya wake kwani sasa hivi nipo india nimeziona na bei zake sio mbaya , nimeingiwa...
1 Reactions
11 Replies
7K Views
hii ni kati ya kampun muhim sana kama itajipanga kutoa huduma zake. kama mhusika ni huyu mwenzetu wa jf MWL RT naomba kuongea naye kwa nia njema kama kuna mwenye no yake. maana kampun hata email...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Bei ya Pamba msimu huu ni Tsh 1100 kwa kilo,hii nikwamjibu wa waziri wa kilimo,Tizeba My Note: Mpaka sasa sijamjua mtanzania mnyonge anayesaidiwa, maana si mwalimu, mkulima, mfugaji, mvuvi ama...
2 Reactions
35 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…