Dar es Salaam. Kama ulidhani kwamba hekaheka zinazotokana na mvua inazoendelea kunyesha katika maeneo mengi ya nchi hususan mikoa ya Pwani inakaribia kumalizika, utakuwa unajidanganya.
Chukua...
Utaifiti: ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi, unahusishwa na matatizo ya utasa miongoni mwa wanawake
Mwanamke akila burger na vibanzi
Mwanamke ambaye ana mazoea ya kula vyakula vyenye mafuta...
Mwenzenu niko njia panda kabisa hata sijui lipi ni lipi sasa. Toka utotoni nilizoea kusikia msemo huu na niliamini huo ndo ukweli maana siamini Mungu anaweza kumpenda Msema-uongo
Na hata sasa...
Kwa kuwa inasemekana upimaji ni garama kubwa!
Tutumie vijana wetu Chuo cha ardhi,wakienda field wafanye master plan ya awali kila kijiji,tutumie hata karatasi za A4 @20tzs na manila 200 pia...
Hizi ofisi za mwendo kasi pale Jangwani ni muhimu zihame haraka kwenda Ubungo pale ilipo UBT kwa sasa na UBT ihamie Mbezi kama ilivyopangwa. Hapo zilipo ofisi za mwendokasi kwa sasa wafuge samaki...
Leo mida ya saa 11:30 jioni tukitokea dar na mv. Kilimanjaro kuja znz tuona maiti ya mwanaume ikiwa inaeleya kwenye bahari kuu maeneo ya chumbe..msafiri kafikiri...!!! Maiti nyingi sana zitakuwa...
Mchekeshaji Mzee Majuto leo Mei 4,2018 amesafiri kwenda nchini India kwa ajili ya matibabu.
Majuto ameenda India kutibiwa katika Hosptali za Apollo, New Delhi baada ya kusumbuliwa na nyonga...
Kupiga majungu, kumuongea mwenzako pembeni mambo ambayo ulipaswa kumwambia moja kwa moja, Kusingiziana ili mmoja akandamizwe na mwingine atumie hiyo kama ngazi, kusambaza umbea...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema wanaume waliopokea barua za kuitwa ofisini kwake kwa ajili ya maridhiano na wazazi wenzao na wakakaidi, ifikapo Jumatatu watakamatwa kwa mujibu...
Habari jf?
kwa nini magereza yote nchini hayana majina ya viongozi mashuhuru na wakubwa au jina la chama kama ilivyo viwanja vya mpira,madaraja,barabara,hospitali n.k?
Mzee mmoja ambaye ameenda matembezi na mke wake huko Africa Kusini amevamiwa na simba na kuvutwa mpaka vichakani.
Kaumia vibaya amelazwa hospitali anaendelea na matibabu.
Siku ya kwanza.
Niende moja kwa moja kwenye maada, Je ushawahi kupewa msaada wa gari yaan "lift"?...
Nakumbuka ilikua mwaka 2008 kipindi hicho nipo kidato cha 4, majira kama haya yaan kipindi cha...
Evarist ChahaliVerified account @Chahali
1. #JeWajua kuwa Tanzania yenye wanyama pori zaidi ya milioni nne ndo inaongoza duniani kwa kuwa na idadi kubwa ya wanyamapori kwa kila kilomita ya mraba...
TAARIFA KWA UMMA.
Kampuni inayotoa huduma katika mradi wa mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam, UDA Rapid Transit (UDA-RT), inaujulisha umma kuwa, huduma za...
Ottawa (AFP) - An upstart cannabis company has partnered with a Canadian university to produce -- with government financial backing -- what it says will be the world's first beer made from the...
Buried or cremated, you end up as dust or ash, so let’s save the space for the living
Saturday May 5 2018
Nairobi City Council cemetery in Langata. Those who do cremation are not in any way...
Habari za muda huu wanajukwaa
Natumaini mneaendelea vyema na mapumziko ambayo yanafika tamati kesho jioni.
Kipekee napenda kujitokeza kufahamishwa kama kuna weza kuwepo na ufadhiri wa masomo kada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.