chinatown
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 1,232
- 1,109
jana nimepita katika stendi ya mbezi mwisho nikahitaji ku attend call of nature,sikutegema kama nitakutana na bei ya tsh 500/=.Nimeshangaa sana hizi bei. nimeshangaa kwa sababu zifuatazo
1.Hii ni huduma au biashara?
2.Lengo la kuweka public toilets kwenye mikusanyiko ya watu ni pamoja na kupunguza magonjwa yanayoweza sababishwa na watu ku puu ovyo.Hivyo kuisaidia serikali kupambana na magonjwa .
3.Kweli mtanzania mlalahoi anamudu hii gharama?
ushauri wangu
halmashauli ya ubungo embu liiangalieni hili kwa upya kama mnahitaji pesa kuna vyanzo vingi tuu vya kutengeneza pesa .Ama mnaweza weka hizo gharama kwenye bidhaa nyingine na hii huduma ikatolewa hata kwa sh 50/