NIMEDHULUMIWA MAKAZI YANGU NA BW. IBRAHIM ARON, MTUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA SINGIDA NIKIWA CHUONI.
Kwa jina naitwa John Hassan mkazi wa kijiji cha Nduu kata ya Kijota tarafa ya Mtinko, mkoa...
Toka mvua zianze kunyesha mwezi April kama sijakosea na baada ya daraja la zamani kubomolewa hali imekua mbaya mnooo kwa wananchi wanaoingia na kutoka Kivule iliyoko Manispaa ya Ilala hali...
Ni gazeti la Habari leo tu ndio ambalo hii imekuwa habari kuu magazeti mengine yakiwa hayajaandika kabisa habari hiyo.
Kwa mfano, Mwananchi, Nipashe,The Citizen na The Guardian hii habari...
Kumekuwepo na kauli mbalimbali kuwa Rais Jpm anajipendelea sana kimaendeleo kwenye eneo alilo zaliwa kuliko Marais wote ambao wamewahi kuwa Marais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania
Njooni...
Kama Mzazi kuwa na Leseni ya Biashara kunamfanya Mwanafunzi mwenye haki ya kupata kukosa haki hiyo...basi na wakose hadi wale ambao Wazazi wao wame ajiriwa na serikali na sekta binafsi ambao wana...
Foleni Kali sana, barabara ya Nyerere road, gali zimeumana kuanzia gongolamboto hadi tazara, Hakuna anaesogea, tatizo nini? Wahusika hasa jeshi la police tunaomba msaada wenu kwakweli.
Wana jamvi,
Mnajua kuna mambo yana kera sana mtandao wa Airtel. Kila siku wananiunga eti nimeunganishwa na huduma za BBC kupitia SMS wakati sijawahi kuomba hiyo huduma.
Kwanini mnaingilia uhuru...
Zile siku 3 alizotoa waziri mkuu Kassim Majaliwa ya kuongeza mzunguko wa mafuta zimeisha. Je bei imepungua? Km ipo ile ile tatizo lipo wapi na nn kifanyike?
Nimemsikia mkuu wa mkoa wa Arusha...
Mtu mmoja anayefahamika kwa jina moja la Hassan mkazi wa Miembeni mjini Unguja amenusurika kifo baada ya kutolewa ndani ya kontena alilokua amejifungia kwa siku tatu akiwa taaban kiafya
Wadaua natumaini mko salama...keshokutwa ntakua nasafari ya zenji ya kiutalii..hivyo wadau wanaojua masuala ya utalii ndani ya zenji ...naombeni tips kuhus zenji....ntakua zenji kwa siku 4..so...
Hivi ni kweli kwa sheria zetu za hapa Tanzania mtuhumiwa ikitokea akukutwa na kosa baada ya hukumu ya mahakama ya mwanzo na akiamua kukata rufaa je atatakiwa kusikiliza kesi yake akiwa gereza...
Habari zenu wakuu?
Mnamo tarehe 10/5/2018 TAMISEMI walitangaza ajira 6180 kwa kwenye sekta afya nchini.
Tarehe 11/5/2018 Wizara ya afya nao wakatangaza ajira 1500 kwenye sekta ya afya...
TANZIA
Kwa niaba ya Uongozi wa
Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira, na Serikali ya Wanafunzi (TUMASO) Wizara ya Afya inasikitika kutangaza kifo cha mwanafunzi
Luciana Richard Olotu kilichotokea...
Katika zama hizi zenye kuhitaji wasomi na wachapakazi Ila bado unaweza kuwa na Vyeti vyako vyenye makisi nzuri ila ukabaki kushuhudia wenzako wenye vyeti wakipewa ajira na ukafikia hatua ukaona...
Habari wana JF.
kama una muda tafadhari soma vitabu hivi, ili vikuepushe usije kuwa DICTATOR either hapo home kwako au Kazini.
Utakutana na elements kama Uzalendo, nafsi ya nguvu ya kijeshi...
Staki kuandika maneno mengi, ila nashangaa!!!! ina maana police hawajui kuwa Dawasco huwa wanapakaa ofisi zao hii Rangi? Tunashindwa kutofautisha Polisi na dawasco. Nashauri Polisi wapakae vituo...
Kwa hali nnayoiyona kimara mwisho kila siku asubuhi, jinsi tunavyopata tabu kutokana na huu mradi wa UDART kutetereka sasa ni mda mzuri wa serikali kuruhusu Daladala za zamani zipate kibali cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.