Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

...Kumradhi 'wataoguswa ndipo', lakini na maswali yangu kadhaa; ...hivi ni kwanini watu wafupi 'wengi' wanakuwa wabishi, wakorofi, wagomvi? ...au ni mgongano tu wa mawazo?
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari wana jamii wenzangu naomba msaada kuhusu hizi emails za immigrants huwa ni issue za kweli maana huwa nataka kulipia hizo form lakini nasita mwenye kujua anifahamishe. Nataka kuhama Nchi
0 Reactions
2 Replies
812 Views
Wakuu nimeshindwa kuona mahali ambapo nitaandika thread mpya natumia jf app naomba kuelekezwa wakuu @mkwawa,Miss Natafuta
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Salama lakini wanaJF? Hivi watanzania wanaoishi Moscow/Urusi wapo humu? Mimi na shemeji yetu tunatataka kwenda Russia kutumbea kwa wiki 1 (kiutalii). Tunatarajia kukaa Moscow, vipi mambo ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
jana nimepita katika stendi ya mbezi mwisho nikahitaji ku attend call of nature,sikutegema kama nitakutana na bei ya tsh 500/=.Nimeshangaa sana hizi bei. nimeshangaa kwa sababu zifuatazo 1.Hii ni...
0 Reactions
1 Replies
955 Views
Moi, Alikuwa polisi akapata chansi ya kuingia Finland 2008. Alitupa magwanda na alipofika Finland akajilipua (kuomba hifadhi ya ukimbizi). Tatizo lake hakutulia. Alikuwa anaiba sana supermarket...
2 Reactions
36 Replies
7K Views
Kwanza nianze kwa kutoa pole kwa familia ya Suguta ambayo imepata msiba wa kijana wao. Nikiri pia kuifahamu familia ya Heche kwa sababu tunatoka maeneo ya karibu nyumbani ni kijiji cha Nyabisaga...
21 Reactions
116 Replies
13K Views
Great
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mungu ndo muweza yote yeye ndo kila kitu katika uso wa dunia na ulimwengu. Hakuna amtumainiye akapotea. KUT 3;14, Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO;akasema,Ndivyo utakavyowaambia wana...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa kipindi kirefu nilikua najiuliza na kutamani mastaa kutumia mtandao wa JamiiForums Nilipenda sana kuwaona kina; @Alikiba diamond platnumz wema sepetu shilawadu @Mr blue *@Rais wetu* Na...
3 Reactions
91 Replies
7K Views
wakuu habari zenu , kama kichwa cha habari hapo juu .naomba munieleweshe kuhusu hizi bus za india uzuri wake na ubaya wake kwani sasa hivi nipo india nimeziona na bei zake sio mbaya , nimeingiwa...
1 Reactions
11 Replies
7K Views
hii ni kati ya kampun muhim sana kama itajipanga kutoa huduma zake. kama mhusika ni huyu mwenzetu wa jf MWL RT naomba kuongea naye kwa nia njema kama kuna mwenye no yake. maana kampun hata email...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Bei ya Pamba msimu huu ni Tsh 1100 kwa kilo,hii nikwamjibu wa waziri wa kilimo,Tizeba My Note: Mpaka sasa sijamjua mtanzania mnyonge anayesaidiwa, maana si mwalimu, mkulima, mfugaji, mvuvi ama...
2 Reactions
35 Replies
12K Views
Ningependa kujua sababu ya kumpinga na kumkataa ni kwa sababu tu ni Mkenya au kwa sababu mnapinga hii nafasi kushikiliwa na mgeni? Na je kama mnapinga wageni, mbona hiyo nafasi ilishashikiliwa na...
6 Reactions
67 Replies
7K Views
KWA TAARIFA YAKO: Asilimia 43 na 54 ya marubani waliohojiwa Ulaya wamekiri kusinzia wakiwa angani, theluthi moja ya hao wamesema walipoamka walikuta wasaidizi wao pia wamesinzia. Na katika...
5 Reactions
67 Replies
9K Views
Hivi kuna mtu mtu alishawahi kushinda hii. ?? Nimeenda sehemu hamna 3G za mitandao mingine hivyo nikalazimika kutumia halotel pamoja na vifurushi vyao vya ajabu. Mimi na wenzangu tukaamua...
0 Reactions
18 Replies
11K Views
Dayosisi ya Mashariki na Pwani ya Kanisa Kuu la Kilutheri Tanzania (KKKT), imesema bado inamtambua Baba Askofu Dkt. Alex G. Malasusa kama Askofu wa Dayosisi hiyo na itaendelea kushikamana naye...
0 Reactions
17 Replies
8K Views
Katika umri wa ujana ndio unaopaswa kufanya vitu vingi kwa wakati mmoja.Miongoni mwa mambo unayoweza kuyafanya ni pamoja na kujihusisha kwenye shughuli za kilimo iwe moja kwa moja au kufanya...
3 Reactions
1 Replies
973 Views
Wadau ukiwa wilayani chamwino njiani kuelekea dodoma unakutana na maua ya asili meupe yameota pembezoni mwa barabara kwa wingi sana,hivi haya yana matumizi gani? Kama bado hatujagundua hatuwezi...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
sasa hivi watu wameanza kujifanya wamassai ili wapate kazi za ulinzi .....Leo hii nilikwenda kuvisit Mwanafunzi .nimekutana na msukuma ninayemfahamu mpaka kwao ..ndo nimemkuta akiwa getin kavaa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom