Watu weusi kutembelea Moscow/Urusi....

Watu weusi kutembelea Moscow/Urusi....

DARK HORSE

Member
Joined
Jun 21, 2016
Posts
59
Reaction score
76
Salama lakini wanaJF?

Hivi watanzania wanaoishi Moscow/Urusi wapo humu? Mimi na shemeji yetu tunatataka kwenda Russia kutumbea kwa wiki 1 (kiutalii). Tunatarajia kukaa Moscow, vipi mambo ya ubaguzi huko? Ukiangalia tv na mitandaoni inaonekana ubaguzi ni ishu. Hivi salama watu weusi kuja kutembea huko?

Ntadhukuru sana kwa pointers zote za kusurvive Moscow for 1 week.
 
Yupo mmoja humu alileta story ya dokta shika Na Jana tena amesema alikua North Korea Sijui anaitwa nani!( kama huwa hatuletei chai)

Mtafute kama kweli yupo huko awe mwenyeji wako
 
Salama lakini wanaJF?

Hivi watanzania wanaoishi Moscow/Urusi wapo humu? Mimi na shemeji yetu tunatataka kwenda Russia kutumbea kwa wiki 1 (kiutalii). Tunatarajia kukaa Moscow, vipi mambo ya ubaguzi huko? Ukiangalia tv na mitandaoni inaonekana ubaguzi ni ishu. Hivi salama watu weusi kuja kutembea huko?

Ntadhukuru sana kwa pointers zote za kusurvive Moscow for 1 week.
ubaguzi haupo ni maneno tu ukitaka nenda wewe binafsi ili upate uhakika
 
Back
Top Bottom