Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tafadhari, kwa yeyote aliye na ufahamu juu ya eti biashara inayoitwa 'PAY DIAMOND' tafadhari atuelimishe na wengine tusije tukaliwa pesa zetu jamani. Maana leo nimekutana na dada mmoja wa kihaya...
0 Reactions
0 Replies
729 Views
Tufike maala tuwe wakweli, nimewahi kusema mimi ni muumini sana mzuri wa Lutheran, lakin pia hawa wanaoongoza wana madhaifu yao ya kibinadamu, Mzee wangu yaan kaka yake baba yangu ni dini yaan...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari wakuu.. Hivi unataamua kufanya nini kama ukiamka ukapata siri ya kusafiri na muda (time travel) Yaani uwe na uwezo wa kuchagua muda wowote unaotaka kwenda. Kwa mfano unaweza kwenda mwaka...
8 Reactions
48 Replies
10K Views
Nilinunua king'amuzi chao kwa sababu ya hiyo channel tu, watoto wangu wanashinda wanaangalia na wanaipenda. Wameifuta watoto wananisumbua kila nikirudi jioni wanasema niwawekee scoan. Hivi ninyi...
3 Reactions
46 Replies
10K Views
Natumai hamjambo wadau, Naomba kufahamishwa jibu la swali Naomba kufahamishwa jibu la swali hili; Je miradi ya biashara au ujasiriamali inayomilikiwa au kuendeshwa na NGO au CBO inatozwa kodi...
0 Reactions
1 Replies
675 Views
Natumaini mko salama na purukushani za hizi mvua zisizo na break. Kwa wale waliokubwa na mafuriko poleni,ndo nchi yetu ilivyo. Kuna mhenga alinambia hii habari,kuwa nyumba yaweza kujengwa na...
0 Reactions
3 Replies
977 Views
Sisi sote ni watumishi wa serikali ,pale Raisi anaposema yuko bize kuendeleza miradi mikubwa hivyo hawezi kuongeza mishahara hana pesa, Je hizo pesa anazowaongeza polisi kinyemela zinatoka wapi ...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
MADA. Ni sahihi kwa wazazi walio okoka Kupanga uzazi!...... Je! ni halali kutumia kinga! kuzuwia Mimba pale ambapo hawahitaji mtoto! Je! Wazazi kujipangia watoto nisawa!! Mf; Tunataka tazae...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wadau kwa wale wakazi wa dar hebu tusaidieane ni sehemu gani mjini dar inauzwa kahawa nzuli na hiyo sehemu kuna mazingira mazuli ambapo kumestaraabika unaweza ukakaaa na kupoteza mawazo...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari wana Jf kama kichwa cha habari kinavyo jieleza: Kuna swali kila Cku huwa najiuliza kuhusa Vichaa Hapa nazungumzia Vichaa kwelikweli wale Ambao ukikutana naye Leo kwa Mara ya kwanza...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Katika masomo ya afya inasisitizwa, Mafuta ya pamba, ya wanyama sio mazuri kwa afya ya mlaji. Mafuta ya Alizeti kama yakiandaliwa vizuri ni bora kabisa kwa Ustawi wa afya ya mtanzania. Kumbuka...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Baada ya NEMC kupiga marufuku uchimbaji wa michanga kwenye mito, mito sasa imejaa michanga hivyo maji yakipita yanakuwa na sehemu ndogo. Athari hizi ni kubwa na zinaonekana zaidi Wami Dakawa...
8 Reactions
14 Replies
3K Views
Samahani, nadhani kwasababu nililipia king'amuzi kwaajili ya tv hiyo au zile zingine za dini ya kiristo. tafadhali, tumelipa hela, na tunalipa kila mwezi, tunaomba mrudishe au la basi twende...
3 Reactions
29 Replies
4K Views
Watawala wanadhani kuwa hili ni jambo jema ila huku mtaani hali sio kabisa. Let see
7 Reactions
44 Replies
4K Views
Salamu wakuu, Miaka mitano hivi nyuma iliyopita, kuna rafiki yangu ambaye tumewahi kufanya kazi wote mahala, na kwa misingi hiyo hatukuwa washkaji kivile, lakini siku moja kampuni yetu wakati huo...
26 Reactions
54 Replies
4K Views
*Tangazo la kupotelewa na vyeti* Ndugu zangu watanzania nawasalimu majina yangu ni #PaulAlfredyMpiluka mzaliwa wa Iringa vijini jimbo la Kalenga mnamo siku ya tar 04/05/2018 majira ya saa 03:34...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwanafunzi wa kidato cha pili Sekondari ya Kayanga wilayani hapa mkoani Kagera, anadaiwa kufanyiwa ukatili na walimu wake kwa kupigwa na kuchomwa moto viganja vya mikono na miguuni kwa madai ya...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Kama kuna Mtu ambaye alikuwa akisononeshwa kwa kiasi kikubwa sana na mwenendo wa Idara ya Usalama ( Ujasusi ) ya nchini Tanzania ( Tanzania Intelligence and Security Services ) basi ni Mimi " Le...
30 Reactions
193 Replies
29K Views
Kuna urasimu mkubwa pindi mtu (individual) unapotaka kujiunga na huduma za mfuko wa bima ya afya. Wao siku zote husisitiza watu wajiunge kwa bei nafuu yaani chini ya laki moja, lakini ukisema...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Nina marafiki zangu wengi wanatokea KLM, wengi majina yao ukiyatafsiri yana jina la Mungu kama vile Eliapenda, Elibariki, Aikaeli n.k., sasa nimekuwa nikijiuliza, je haya majina yalianzishwa na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom