Nimeona sio vibaya nikatoa tahadhari au angalizo kwa ndugu zangu wenye usafiri binafsi ambao wanapenda kwenda nao Airport ya Julius Nyerere International Airport either kusindikiza ndugu jamaa na...
Mzuqa sana wanajamvi?
MODS msiunganishe.
Kweli nyani haoni makalio yake. Dogo aliletaga uzi humu wakati flani kuhusu wabongo wanaoishi Sauz. Akawakandia kweli wanaishi maisha duni na ya...
Muigizaji wa filamu nchini Elizabeth Michael, maarufu Lulu, amebadilishiwa adhabu na sasa anatumikia 'kifungo cha nje' kwa amri ya Mahakama Kuu Tanzania.
Lulu alihukumiwa kifungo cha miaka miwili...
Naona vijana wengi wa kiume jana walikuwa mstari wa mbele katika kuwatakia heri mama zetu katika siku ya wanawake duniani.
Ukweli ni kwamba 94% ya vijana wengi hawawatunzi mama zao wala...
Habari wanaJf Moja kwa moja kwenye mada,
Mkoa huu bado una changamoto za huduma za kijamii kama maji, barabara za mitaa pamoja na umeme baadhi ya maeneo, Chakushangaza wenyeji(Wanyantuzu)...
Habari...
Najua kichwani utajibu ugonjwa wa kwanza ni Malaria! Hapana! Malaria ni na namba 3! UKIMWI bado unaongoza kwa kutafuna wengi Tanzania. Kituo kikubwa nilichofanya kazi last week idadi...
Nawashauri watanzania kutoitumia vibaya wodi ya watu wenye matatizo ya akili ya hospitali ya taifa Muhimbili, maana kuna wasomi wa DUCE wamemkamata mwanafunzi wa DUCE na kumsingizia ugonjwa, kisha...
.
Mtu anapokunywa pombe anahisi kujisikia raha Fulani , hata kuhisi kujiamini zaidi na mambo kama hayo , kunakomfanya asahau hata madhara yake.
Madhara ya pombe ni mengi mno, mfano ubongo...
Wakuu nifanyaje nami nipate kujiunga na uni offa ya voda *149*02#?
Sina laini ya chuo lakini, hua nanua salio kupitia M-Pesa najiunga fresh lakini naletewa ujumbe kua "Your Transaction is...
.
Ubongo wa mwanadamu ni mpana na una mambo mengi sana ya kuchakata . Unaweza kuchakata data billion moja kwa Muda mfupi, hasa ukiwa hujafanya short circuit ya mawazo na akili yako .
Reticular...
“Wafungwa waliopewa cheo cha unyampala ndio wanaoweza kupata chakula cha kutosheleza matumbo yao, wengine huishia kula kwa kunyang’anyana na mwenye nguvu ndiye anayekula, kwa kifupi mle ndani...
Basi la Kampuni ya MANING NICE ambalo lililokuwa linafanya safari zake kutoka Mtwara kwenda Morogoro, limepata ajali ya kupinduka maeneo ya Kisevule karibu na kiwanda cha Cement mchana wa leo...
Binadamu tunategemeana katika nyanja zote. Mwambie karani ,house boy/girl , dereva,ama staff mwenzako ,bank teller,mkeo/mumeo nk. Neno 'Asante' baada ya kukupa huduma Fulani hata kama ni wajibu...
Habari wa Bodi
Leo nimekutana na kadhia mbaya sana hapa CRDB tawi la Tegeta. Nimefika hapa saa nne kamili (muda wa kugungua tawi siku ya jumapili), na nikafanikiwa kuingia ndani muda huo.
Baada...
1. Msamehe aliyekukosea lakini kumbuka usilisahau jina la huyo mwanaharamu.
2. Pesa haiwezi kununua furaha lakini ni bora zaidi kumwaga chozi ukiwa kwenye Benz kuliko ukiwa juu ya baiskeli.
3...
Habari wana JF
Kuna zile moments ambazo umezunguka ATM kama tano hivi unatafuta muamala wako halali ukiwa na mahitaji halali unayotaka kuyapata, ukiwa na matumaini sasa suluisho ndio umelipata...
Wachungaji watatu wamenusurika kichapo cha mbwa koko kutoka kwa wananchi mara baada ya kushindwa kumfufua marehemu ambaye ni mwanakijiji mwenzao baada ya wachungaji hao kudai wana uwezo wa...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekamata mifuko 169 ya sukari yenye uzito wa kilo 50 kila mmoja pamoja na boksi 40 ya mafuta ya kupikia yaliyofungwa katika ujazo tofauti, vyote vikiwa na thamani...
Napenda kufahamu kwanini ofisi nyingi za Serikali wametoa namba za simu za mawasiliano kwa ajili ya huduma kwa wateja lakini hazipatikani hewani ukilinganisha na ofisi za binafsi.
Habari za jioni waungwana. Nasikia kuna mgogoro unaendelea katika kanisa tajwa hapo juu.
Samahani naomba anaeweza kuwa anafahamu uzuri anielekeze kwa lengo la ufahamu tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.