Akiongea katika kipindi cha Tuongee Asubuhi kinachorushwa na televisheni ya Star Tv, Katibu mkuu wa chama cha kutetea maslahi ya walimu (CHAKAMWATA) anasema;
"Chakamwata kinapambana katika kile...
An Indian scientific team was assigned to look for natural gas on the Songo songo islands, in the south of Tanzania. at the end of their tour, the team called on President Nyerere at the State...
Moshi. Mshtakiwa wa saba, Ally Mussa au Majeshi (49) amedai siku ya mauaji ya Erasto Msuya Agosti 7, 2013, yeye alikuwa mapumzikoni baada ya kufunga ndoa na Mwanaisha Juma.
Akiongozwa na wakili...
Mwanafunzi wa darasa la nne katika shule ya msingi Sabasaba jijini Mwanza, Dotto Baraka (13) amefariki dunia baada ya kulipukiwa na betri ya simu aliyokuwa akiiunganisha na radio chakavu.
Kamanda...
TATU MZUKA na BIKO ni michezo michafu sana hapa Tanzania.
Utasikia mama ntilie au bodaboda au dereva au muuza matunda au fundi viatu ndo wanaoshinda. Kila siku wanashinda watu ambao hawana...
Shimboni watanzania wose(wote)
Kumekua na tathmini nyingi sana kuhusu dar na arusha kuhusu ughali wa maisha, unafuu nk
Swali langu ni hili
Kati ya dar na arusha ni mji upi kuna ughali wa Maisha...
Wakuu heshima kwenu.
Nategemea kwenda unyaluni kwa Mara ya kwanza.
Naombeni mnijuze basi gani zuri la kutoka Dar kwenda Iringa lenye USB CHARGING SYSTEM na huduma zingine.
Natanguliza shukrani kwenu.
CRDB Simbanking wakati inaanza kulikuwa na huduma ya fund transfer kwa wateja wa Airtel Money na M-pesa ie ilikuwa inawezekana kuhamisha fedha kutoka CRDB Account kwenda Airtel Money au M-pesa...
Mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam zimeiathiri kwa kiasi kikubwa kampuni ya mabasi yaendayo haraka (UDART) na kusababisha kampuni hiyo kugeuza moja ya mabasi kuwa ofisi.
Chanzo...
Wawekezaji wa kampuni ya simu za mkononi ya VodaCom Tanzania wapoteza mtaji wa Sh350 bilioni katika kipindi cha miezi mitano tangu kuorodheshwa kwenye Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE)
Chanzo...
Wasalaam
Mimi ni kijana wa miaka 21 naombeni mni kopeshe shilingi elfu saba ambayo nitailipa baada ya siku tatu
Lengo langu nataka nifanye biashara ya kuuza karanga ambayo mtaji ni elfu kumi na...
ijumaa karim wana jamvi..
nimekuwa nikiona matangazo ya opera browser na opera newz app ambao ni kitu kimoja katika mitandao yanayohamasisha kui download lakini kwa asilimia 100 ya ADS zao...
Jamani tigo niwezi sana.. Leo muda si mrefu wamenitumia SMS oh bonyeza sijui nyota na minamba yako ili kupata UNI offer na wamesema eti unapata dakika 125 na GB 1.2
Bana si nikabonyeza kutazama...
Jana taasisi ya utafiti ya TWAWEZA ilitoa utafiti kuhusu sauti za wananchi katika swala la Elimu nchini.
Katika utafiti wao wananchi wamechagua kuchangia Elimu ya Watoto wao alimradi tu iwe...
Habari wana jamvi, natumaini mko poa na wengine tukiendelea na mfungo wa pili.
Niende moja kwa moja kwenye mada. Kumekuwa na wimbi la videos/video clips zikisambaa saba kwenye mitandao ya kijamii...
Hakuna matamu yasiyo na karaha!
Mnyama kitimoto ni mtamu sana hasa akipikwa kama rojo [mbogamboga] aliwe na ugali au ndizi za kuchoma! Wakati huo umeshang'ata bia kadhaa.
Cha ajabu kuhusu...
Hiyo application inapatikana play store...
Ina option ya ku protect SMS, WhatsApp, Messenger na kila kitu utakachoiruhusu kwenye simu yako.
Unaweka password yako kuzuia vitu vyako muhimu kwenye...
Salamu ndugu zangu.Amani iwe nanyi!
Kwa wafanyakazi walio wengi weekend ni siku ambazo huwa hawaendi kazini. Huitwa siku za mapumziko ama weekend.
Binafsi mimi ni mkristo [Anglican]… Mimi huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.