TRA mkoa wa Arusha wamekamata shehena ya sukari na mafuta ambayo haikulipiwa kodi.
Kamishna mkuu wa TRA ndugu Kichere amesema shehena hiyo ina thamani ya takriban sh 25 milioni na kodi...
Nyie TRA ni kiboko yani wamekuja hotelini na kuuliza wateja wangapi wamelala nikawaambia na kuwaonesha kitabu mpaka hapo sawa baada ya hapo leta Risiti nikawaambia wateja hulipa siku wanayotoka...
Siku mbili tangu alipoachiwa muigizaji Elizabeth Michael ’Lulu’, mama wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amesema ameumia na tangu alipopata taarifa hizo hajalala.
Akizungumza na MCL Digital...
Kikongwe Somoe Issa anayekadriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 90 ambaye ni Mkuu wa Kaya ya Msimbati kijiji ambacho gesi asilia inavunwa, mkoani Mtwara aliionya Serikali kutoendelea na mpango...
Nianze na nukuu kutoka Kwa gwiji wa muziki wa reggae, hayati Robert Marley aliposema" katikati ya maji, maji mpumbavu ana kiu"
Kwa muda wa wiki mbili Sasa maeneo mengi ya jiji la mwanza hakuna...
Kwanza abiria wanakata tiketi, kisha wanasubiri gari zaidi ya saa moja.
Kinachosikitisha ni kuwa baadhi ya vituo havina viti vya kupumzika abiria wala vyoo.
Yaani abiria wa mwendokasi wamekuwa...
Dar es Salaam.
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imewahamisha madaktari bingwa 15 na wauguzi zaidi ya 30 kwenda katika Hospitali ya Taaluma na Tiba Mloganzila ili kuongeza nguvu ya kutoa huduma...
Wakuu habari
Nna imani sote ni wazima na tunaendelea vizuri na majukumu yetu ya kila siku.
Ninaangalia TBC, televisheni ya Taifa, hapa wakiwa live katika "uzinduzi wa maonesho ya live ya Kombe...
Obama alipoingia madarakani alikuta hali ya uchumi ni mbaya sana Marekani iliyoachwa na Bush.
Kwelu Barrack alijitoa mhanga hadi mvi zikamjaa kichwani ghafla.
Muhula wake wa kwanza ulikuwa na...
Taarifa kutoka Lindi zinasema kuwa Jengo ambalo lina ofisi ya Jeshi la Magereza pamoja na Kituo cha redio cha Mashujaa, vimeteketea kwa moto mchana huu.
> Kamanda Mkoa wa Lindi, ACP. Pudensiana...
Hivi hawa jamaa wa DSTV kwanini bei zao ziko juu sana, ni kodi wanayolipa au nini? Kama ni kodi wale GTV walikuwa hawalipi kodi? Mimi sio mpenzi wa mpira na sisemi hivi kwa sababu nimeshindwa...
Habarini za mchana wakubwa....ni kwa nini serikali inahesabu mtu mwenye elimu ya form four na aliyesomea fani akafikia certificate kua wako sawa katika salary scale?
He haioni kwamba huyu mtu...
unajua miaka ya nyuma ilikuwa sometime wazazi kipindi cha likizo wanakupeleka kijijini ukamsalimie bibi... mimi kukaa home na wazazi ilikuwa kero sana kwao. tena kama nisingekuwa na akili darasani...
SHEHE wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Salum amewataka waumini wa dini ya Kiislam nchini kote, kuutumia Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan kutenda mambo mema, yaliyoamrishwa na Mwenyezi Mungu...
Asante sana wakuu kwa mchango wenu wa Jana kuziona picha ya ARV na ushauri.
Sasa Leo ningeomba tujadili swala moja muhimu sana.....
Kwa kuwa serikali na taasisi mbalimbali zinajitahidi sana...
Katika taarifa ya habari ya saa 2 usiku TBC kutoka kwa reporter SAM MAHELA, kuwa nabii huyo anayepatikana DAR anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kutapeli fedha waumini wake ambapo waumini wawili...
Wachungaji watatu wamenusurika kipigo kutoka kwa wananchi baada ya kushindwa kumfufua marehemu katika kijiji cha Sitalike Wilayani Mpanda mkoani Katavi
Wachungaji hao walifika kijijini hapo...
Kwa zaidi ya miaka 48 (1967 -2015) tangu uhuru wake Tanzania imekuwa na maisha yasiyoeleweka kiuchumi pamoja na kuwa na vitu vingi na maliasili nyingi ambazo zingeweza kuipaisha nchi hii kiuchumi...
Ndugu wana jamvi naomba kujua utaratibu wa uhamisho nahitaji uhamisho Mimi nafanya kazi halimashauli moja wapo hapa Tanzania kama afisa ugavi na manunuzi nahitaji kuhamia Taasisi yeyote ya ELimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.