MAONO YA MTUMISHI WA MUNGU APOSTOR PS LUKUMAY WAKATI WA MAOMBI NA MAOMBEZI YA KUFUNGA YA SIKU 3.
Haya yote yalijiri baada ya kusoma kitabu cha imani cha Biblia kilichoelezea maisha ya Mtumishi wa...
Wanawake huishi miaka mingi kuliko wanaume kwenye nchi 195 na nchini Urusi wanawake huishi miaka mingi kuliko wanaume kwa miaka 11. Watu nchini Ethiopia wanaishi miaka 19 zaidi kuliko mwaka 1990...
Katika hali kawaida kwenye kesi kama hizi nchi za nje unawasiliana na kampuni za simu na kupata ukweli wa matumizi ya simu ya mtu,wapi ilitumika siku hio na wakati gani.Verry simple.Bongo bana.
Habari wakuu
Nina mdogo wangu ambae ni nguli ktk mchezo wa karate,kiufupi dogo yupo vzr tu.
Amekuwa mwalimu wa watu wengi mkoani mwanza mpaka baadhi ya wanajeshi wamekuwa wakimfuata awafundishe...
Nimetoka katika ofisi za NSSF Ilala kwanza msongamano mkubwa huduma ni polepole na mpaka sasa umeme umekatika takribani dk 20 kuelekea ishirini na haujarudi.
Wateja wanajiuliza vipi "backup"...
Utaratibu wa kurenew line ktk kampuni ya Airtel sijui nyingine no tabu kwani kuna mzunguko mkubwa ambapo utatakiwa uende jeshi polisi kupata ripoti ya upotevu ambapo pia ni kizungumkuti kwani...
Ndugu wana jamvi ninawasilisha ajenda tajwa hapo juu.M/KIiti wetu anahujumu kijiji kwani tunachanga pesa kwa ajili ya maendeleo lakini pesa zinaliwa.Sasa ninaomba muongozo jinsi ya kumuondoa...
Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemiah Mchechu amesema mmiliki wa jengo la Club ya Bilicanas, Freeman Mbowe ni miongoni mwa wadaiwa sugu wa shirika hilo waliopewa notisi...
Nimepata taarifa hii ya mauaji ya kinyama ambayo imekuwa ikizunguka kwenye makundi ya WhatsApp....
Anathe Msuya mdogo wa Erasto Msuya bilionea wa Arusha aliyeuawa, amechinjwa usiku kuamkia leo...
Meja Jenerali John Walden a.k.a Black Mamba, mwanajeshi wa JWTZ, kiongozi wa Brigedi 207. Aliongoza mapambano ya Masaka na yale ya kuchukua makazi ya Idd Amin katika vita vya Kagera. Alizaliwa...
Katika imani ya Buddha hata Hindu wanaamini mwisho wa binadamu ni kufa na kuzaliwa tena. Kuzaliwa huku kutatokana na matendo yako. Kama yalikuwa ni ya kumpendeza Mungu basibutazaliwa kwenye...
Daudi T. Balali @daudibalali
Kumekuwa na majaribio mawili kuondoa uhai wa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali Tanzania Profesa Mussa Assad. Jaribio moja lilimlenga nyumbani kwake na...
Kwanza nianze kumshukuru Mwl.JK na watangulizi wote wakiwemo Waarabu kwa kuasisi lugha yetu adhimu ya Kiswahili.
Tuna makabila zaidi ya 120, sote tunaunganishwa na lugha adhimu ya Kiswahili...
Habari zenu wanajukwaa.
Niende moja kwa moja kwenye hoja.
Juzi tuliona kwenye vyombo vya habari
kuhusu mizoga ya ng'ombe 15 waliokuwa
wamepelekwa tegeta Dar es salaam ili
kutengenezwa na hivyo...
Usiku huu imebidi nipitepite YouTube kucheki mambo ya home huko, kilichoniacha hoi ni mwanaume strong kabisa wa Dar Es Salaam akimuomba nauli raisi Magufuli katika ziara yake bandarini huku...
Poleni na majukumu wakuu,
Rejea kichwa cha habari, kuna ndugu yangu anahaha kweli kweli akitafuta visa ili aweze kuvuka border kuelekea nchi za Scandinavia.
Kimsingi yeye anadai kwamba haioni...
Nashukuru Jamii forum kwa hili,
Leo nimepigiwa simu na kiongozi wa hii kampuni akiwa Zanzibar kwa namba ya halotel inayoishia na nambari 029, akasikiliza malalamiko yangu na kiukweli ameongea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.