Nifanyaje ili nipate Access ya University offer kutoka Vodacom..?

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
36,462
Reaction score
110,215
Wakuu nifanyaje nami nipate kujiunga na uni offa ya voda *149*02#?
Sina laini ya chuo lakini, hua nanua salio kupitia M-Pesa najiunga fresh lakini naletewa ujumbe kua "Your Transaction is Cancelled"
Dear Jf members please help me What to do & How to do..!
 
Kwani we ni mwanachuo ?
 
Piga kopi ya kitambulisho halali cha chuo andika namba yako ya simu juu ya hilo karatasi la kopi halafu peleka ofisi za voda
 
Mbona ipo app ya kujisajili unatuma picha ya kitambulisho chako then wao wata confirm
 
Kuwa mvumilivu mkuu Mimi wameshanitumia messag ninaweza kujiunga na University offer *149*42#..... Hiyo huduma kuna vigezo zaidi YA kuwa University student.... Buku jero ninapewa dakika za kutosha na GB 1 day na GB 1 night... Kuna nyingine inaitwa YA kwako tu n a kuna vifurush vya double ni uvumilivu tu... Mm nilikuwa natumia voda line nikaiweka pending kwa miezi kwenye mambo ya data ndani YA mwez Sasa Nina pewa MB za chuo
 
Wakuu nifanyaje nami nipate kujiunga na uni offa ya voda *149*02#?
Sina laini ya chuo lakini, hua nanua salio kupitia M-Pesa najiunga fresh lakini naletewa ujumbe kua "Your Transaction is Cancelled"
Dear Jf members please help me What to do & How to do..!
Njoo PM unitumie pesa na namba yako ya simu nikuunge.
 
Mkuu koromije kuna vyuo mfano SAUT,T.I.A,CBE so ofa ipo ukiwa mwanachuo ukaungwa na hii ofa hata ukienda vijijin unaipata tu
Alafu unakuta mtu yuko kolomije au nanjilinji huku anataka line ya chuo
 
Back
Top Bottom