Kategele
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 1,086
- 2,533
Habari wanaJf Moja kwa moja kwenye mada,
Mkoa huu bado una changamoto za huduma za kijamii kama maji, barabara za mitaa pamoja na umeme baadhi ya maeneo, Chakushangaza wenyeji(Wanyantuzu) Wanapangaisha kwa bei kubwa nyumba zao utafikiri upo jiji la Dar es slaam .
Je wenyeji hawa hawajui kuwa bei za nyumba zinaendana na upatikanaji wa huduma za jamii au ni ulimbukeni kukomoa wageni?