Ukweli: Pombe inavyoufanya mwili wako

Ukweli: Pombe inavyoufanya mwili wako

uvugizi

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,351
Reaction score
1,099
.

Mtu anapokunywa pombe anahisi kujisikia raha Fulani , hata kuhisi kujiamini zaidi na mambo kama hayo , kunakomfanya asahau hata madhara yake.

Madhara ya pombe ni mengi mno, mfano ubongo kutiratibu vuzuri mambo ya fikra , poor judgements, mfadhaiko, hypothermia , kutapika tapika au kichefu chefu , kutopumua vizuri , kifafa cha pombe , kuchanganyikiwa , hasira na kushindwa kujipangilia .

Pombe unapokunywa 33% inaingia moja kwa moja katika damu kupitia kuta za utumbo mwembamba na mpana , na katika tissue zote za kibayolojia za mwili. Pombe inaingia haraka sana katika Mwili ( damu) na hapo kwa kadri unavyoongeza kiwango BAL yake inaongezeka ( BLOOD ALCOHOL LEVEL).

Madhara ya BAL kuongezeka ni mengi , kubwa ni kupungua uwezo kuchakata taarifa za vitu vinavyotembea na impaired vision / perceptions. Laws enforcers ( traffic police) duniani na hapa kwetu Tanzania wanasimamia hili la blood alcohol concentration kwa kutumia kifaa maalum kinachoitwa BREATHALYZER.

Kuwepo kwa alcohol nyingi katika damu ( BAL) kuna madhara makubwa kuliko watu wanavyofikiri . blood alcohol level ikizidi na kuzoea mwili , automatically wewe ni Mgonjwa wa pombe una ALCOHOLISM.. yaani unakuwa tena huwezi kudhibiti pombe ila pombe inakudhibiti wewe.

Katika Mwili wa mwanadamu kuna kitu kinaitwa GLUTATHIONE ( GSH),,,, hii ni antioxidant ya mwilini yaani ni chemical inayofanya mwili usidhurike na OXIDATION ,,, Mchakato wa oxygen katika mwili wetu . oxygen ina mazuri na mabaya yake kisayansi .

GLUTATHIONE ( GSH) ni kitu muhimu sana katika mwili wetu , mfano ..... Ndiyo inayofanya cell za mwili kugawanyika na kustawi vizuri mwilini kuepusha hata cancer, ,,,, kurepair na kulinda mfumo wa DNA,,,Kudhibiti kiasi cha protini na kusafirisha Amino acid vizuri .

GLUTATHIONE, ndiyo enzymes catalysis mechanism , yaani umeng'enywaji wa chakula unafikiwa vizuri GSH ikiwa safi.

GSH , inapambana na sumu zote zisizohitajika ( metabolisms of xenobiotics)

GSH inachakata hydrogen peroxide( H202), kama antioxidant kufanya Maji yeyote unywayo yasikuletee madhara .

Kwa ujumla madhara ni mengi kama mwili ukikosa GLUTATHIONE ( GSH) .

sasa kitu kinachofanyika katika Mwili wako ukinywa pombe ni kuwa GLUTATHIONE ( GSH) Inaondoka kabisa , hivyo kuuacha Mwili na maangamizi ya magonjwa mbalimbali, ambayo hata hospitality zetu hawajui pakuanzia kwani wanaacha msingi wa tatizo .

Mshangao wangu mkubwa ni kuwa kiasi kidogo cha GLUTATHIONE , huwa kinaoneka kwa wagonjwa wa UKIMWI na walevi wenye high BLOOD ALCOHOL LEVEL ..

Kama mtu wa kiroho biblia imeonya sana kuhusu pombe

Refer Mithali 20:1,, 21:17,,,:23:29-35 na Mithali 31:4

Paulo pia aliwaonya watakatifu kuhusu pombe waefeso 5:18 .

Be inspired
 
Lily Pesa zungusha round nyingine kwanza kuna mtu anatoa somo la pombe.
Utadhani tunaumwa na kufa walevi tu [emoji23][emoji23] sasa kuna wale wanatusema kua pombe inatugharimu sana pesa zetu wakati wao bado wanapambana na baba mwenye nyumba mpaka kesho hua natamani kuwauliza hili.
 
Back
Top Bottom