Hivi ni kwanini 99.99% ya simu za Serikali hazipatikani?

nyundo2017

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
1,439
858
Napenda kufahamu kwanini ofisi nyingi za Serikali wametoa namba za simu za mawasiliano kwa ajili ya huduma kwa wateja lakini hazipatikani hewani ukilinganisha na ofisi za binafsi.
 
Kuna siku nilipiga sana simu ya serekali mpaka mwishowe nikawatumia sms kali japo najua hawakuipata
 
Zinapatikana ila kupokea ndio tatizo...nadhani wanakuwa busy labda.
 
Back
Top Bottom