Mambo matano ya kuzingatia maishani ili ufanikiwe

Mambo matano ya kuzingatia maishani ili ufanikiwe

mtafuta-maisha

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
1,982
Reaction score
2,934
1. Msamehe aliyekukosea lakini kumbuka usilisahau jina la huyo mwanaharamu.
2. Pesa haiwezi kununua furaha lakini ni bora zaidi kumwaga chozi ukiwa kwenye Benz kuliko ukiwa juu ya baiskeli.
3. Saidia watu wanapokuwa na matatizo, na watakukumbuka watakapopata matatizo tena.
4. Watu wengi wako hai leo kwakuwa ni kinyume cha sheria kuwatandika risasi.
5. kunywa pombe hakuwezi kutatua matatizo uliyo nayo, lakini kumbuka hata kunywa maziwa hakutatui matatizo pia.

Ninatumaini haya yatakusaidia katika kufanya maamuzi yako ya kila siku.
 
Hayo mambo yenu ya kukariri hayana nafasi siku hizi. Kutoboa kimaisha kunahitaji mambo mengi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom