uvugizi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,351
- 1,100
.
Ubongo wa mwanadamu ni mpana na una mambo mengi sana ya kuchakata . Unaweza kuchakata data billion moja kwa Muda mfupi, hasa ukiwa hujafanya short circuit ya mawazo na akili yako .
Reticular activating system ( Ras), ni kichujio cha taarifa zote zinazotakiwa kufanyiwa kazi katika ubongo wetu ,,, hasa kwa wale wenye mipango na malengo.
Neuroscientist wanaamini swala la ufahamu na utambuzi lipo hapa katika( RAS ) . Survival instinct ya mwanadamu ina kuwa shaped na RAS ,,mfano mtu anaweka lengo la kujenga mwaka huu,,,, RAS itaenda kuchuja taarifa zote na taarifa ya kujenga inakuwa prioritized . Aidha haya yatafanyika tu mpaka uweke katika uhalisia , maandishi , kutamka Mara kwa Mara yaani ukiri wako.
Reticular activating system inafanya kazi kwa watu wenye Growth Mindset na siyo Fixed mindset.
Growth mindset ni ile akili mtu anashauku ya kujifunza na hawa daima huwa tayari kiroho wamefanikiwa , ingawa utawaona hawana Material wealth.
Fixed mindset ni wale watu ambao hawataki kujifunza na wanamtindo kujitia wana misimamo yao , yaani walishaamua.
Mwanadamu katika mfumo wake wa ubongo ana pande mbili , kushoto na kulia.
Ili uweze kutambua pande zote mbili za ubongo ni lazima uwe mtu wa kushindwa ila pasipo kukata tamaa na siyo kufaulu tu. Tunapokuwa shuleni tunafikirishwa kufaulu tu na ndiyo maana waliofanikiwa wengi ni watu walikwama sehemu Fulani mfano , Oprah , billgates , henry ford nk
Reticular activating system ina dhibiti hata mfumo wa raha,,,,,,, dopamine,,,( pleasure centre) yaani prefrontal cortex ambayo kitaalamu huzaliwi nayo , inahitaji juhudi binafsi ili uweze kuitengeneza ...,..Ukipoteza uwezo wako wa raha ( limbic system) , prefrontal cortex na RAS inachukua nafasi pia ,,,, kwani raha ni kikwazo cha ubongo kufikiri , ndipo Fursa utaanza kuziona kama ulikuwa umepanga malengo.
Hapa ndipo nilipo amini neno hili Mithali 23:7 ". Maana aonavyo nafsini mwake ndivyo alivyo""
Shida na Raha ni kwa ajili ya ukuu wako waza vizuri , chakata data za akili yako vizuri , sali muombe Mungu Fursa ni yako.
Be inspired