Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Taarifa Maalum. •Kuna taarifa ya kukamatwa kijana anayeendesha Page ya Udaku Instagram kutokana na kubainika na kitengo cha Cyber Crime anatumika kufanya vitendo vya uhalifu wa kimtandao...
5 Reactions
64 Replies
10K Views
Kuna utapeli mkubwa sana unaoendelea katika mitandao yetu ya simu. Kabla ya kuweka data zote kuhusu huu wizi wa kimtandao na kuwashtaki Tigo TCRS naomba kwanza nipate mchango wa mwanachama yeyote...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa kawaida dereva ni mtu wa kutumwa tu na kuongozwa kama bendera inayofuata upepo uendeko! Ni mtu asiye na sekta rasmi.Muda na saa yoyote anatumwa kule au anatumwa pale! Madereva wa viongozi...
5 Reactions
22 Replies
11K Views
Naomba kufahamishwa halmashauri ya wilaya lushoto ni Kata ipi ina jiografia nzuri na ina miundombinu safi ya kufika wilayan na jiografia ninayosema ni uwepo wa ardhi ya kilimo na huduma za msingi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana JF, Hii soda ni tamu sana na ina burudisha. Nashangaa kwa Tanzania inapatikana mikoa ya Kaskazini kama vile Moshi na Arusha. Embu wataalamu mtujuze.
3 Reactions
78 Replies
15K Views
Kuna swala huwa sielewi. Kwanza jambazi kumiliki silaha kama bastola au SMG na asijulikane hii huwa imekaaje kwanza? Mtu ana moto na mko nae pamoja mtaani lakini hammjui kabisa au wachache sana...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Leo kimetokea kisa kimoja katika kituo cha mwendokasi Muhimbili.Nikawa interested nikasimama na kusikiliza.Abiria mmoja wa 70s alikuwa ana kadi yaani pre paid ya udart,bahati mbaya gari...
0 Reactions
1 Replies
829 Views
Nimeikuta mahali hii kuwa "Kama umejiunga na kifurushi cha chuo na wewe sio mwanachuo basi funga yako ni bure" Naomba mwenye uelewa wa hili anisaidie ufafanuzi maana usikute nafanya kazi bure ya...
0 Reactions
1 Replies
591 Views
Tanzania - 1.327 Million million Kenya - 1.474 Million million Zimbabwe - 2.1 Million million Algeria - 2.4 Million million Tunisia - 7 Million million South Africa - 10.29 million Morocco -...
2 Reactions
45 Replies
5K Views
NBAA itashindwa kuandaa mitihani kwaajili ya wanafunzi wanaosomea uhasibu ifikapo Julai 2018 kama wajumbe wa bodi yake ya uongozi hawatakuwa wameteuliwa na waziri mwenye dhamana. Kwa namna isiyo...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ajali mbaya imetokea leo maeneo ya chalinze na kuua mkurugenzi msaidizi wa elimu kwa umma wa wizara ya afya kwa jina Helen Semu. =================== Habari Zaidi =================== Mkurugenzi...
5 Reactions
185 Replies
35K Views
Inachekesha lakini kwa mbali baadhi ya watu wanaishi maisha haya.... Mbwa aliambiwa: Utalinda nyumba za watu, utakuwa rafiki bora wa mwanadamu, utakula makombo atakayokuachia, na utapewa umri wa...
24 Reactions
46 Replies
5K Views
Tafadhili mwenye hio number au mawasiliano au njia yeyote ya kuweza kufika kwa TB joshua (SCOAN) ANISA
0 Reactions
1 Replies
752 Views
Wazazi tunaumia kuona mtu ambaye hafai katika uongozi bado anabebwa bebwa tu huyu mkuu wa shule alikuwa shule ya Nzega day, akaharibu ile shule kwakuwa na mahusiano mabaya na walimu kitu...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Nimekuwa nikiufatilia ujinga wa Azam TV kwa muda mrefu lkn leo imenibidi nije niongee pumba zao zinazotufanya Watazamaji tukose hamu yakuangalia Movies zao. Wamefanya jambo zuri kuingiza sauti za...
3 Reactions
39 Replies
7K Views
Hivi na huko watu huwa wanalala wanapata usingizi kama hapa kwetu Tanzania? Watu huwa wanakaa vijiweni kama huku kwetu na kupiga story? Wanafunzi wanaenda shule? Viongozi wa Serikali...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ofisi ya Vitambulisho vya Taifa NIDA hususani ya hapa Kibamba (Manispaa ya Ubungo) inayosave Ubungo, Sinza, Kimara hadi Mbezi yote na Kibamba. Process ya kuanza kujiandikisha hadi kupata...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ilikuwa tarehe kumi na tano mwezi wa Mei mwaka huu saa nane usiku tulipompeleka jirani yangu mjamzito kajifungua pale Hospitali ya mkoa Morogoro. Mgonjwa alipokelewa vizuri bila tatizo na kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hili jukumu la ku keep time nilipewa rasmi nikiwa darasa la tano. Ilikuwa kwa mwaka mmoja tu kabla ya kuwa kiranja wa elimu toka darasa la 6 mpaka namaliza la Saba. Changamoto kubwa ilikua ni...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Hivi karibuni nilikitembelea kisiwa cha ukerewe kwa niya njema kabisa! Kwanza ukiwa mjini Mwanza, kila bidhaa bora ya chakula yaani maembe, samaki, viazi, machungwa, nk. Vyote hutangazwa kwa jina...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…