Kwanini soda ya Krest Ginger Ale ipo mikoa ya Kaskazini tu?

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
15,555
Reaction score
39,229
ginger ale.jpeg

Habari wana JF,

Hii soda ni tamu sana na ina burudisha.

Nashangaa kwa Tanzania inapatikana mikoa ya Kaskazini kama vile Moshi na Arusha.

Embu wataalamu mtujuze.
 
unanikbusha mbali sana! kuna mwanamke niliimaliza nae chuo arusha! nlikuwa nampenda nikamwambiaga akanipotezea! alikuwa anapenda sana hiyo soda! miaka miwil ikapta nikaenda arusha kikaz nikanunua cret zima nikaja nalo Dar!
nikamtafta huyo demu nikamwabia nimekuja na kreti la ginger ale! akasema yupo tayari aje alale kwangu nimpe creti hilo

kilichondelea hapo msomaji endelea tu kumaliziaaaaa............😀😀😀
 
Ndio maana ya kuitwa JIJI sio dodoma wale omba omba eti nao jiji. Kulikuwa na kiwanda cha CHUCHUBA sijui ziliishiaga wapi ila ccm ni UKIMWI wa hii nchi.
 
unanikbusha mbali sana! kuna mwanamke niliimaliza nae chuo arusha! nlikuwa nampenda nikamwambiaga akanipotezea! alikuwa anapenda sana hiyo soda! miaka miwil ikapta nikaenda arusha kikaz nikanunua cret zima nikaja nalo Dar!
nikamtafta huyo demu nikamwabia nimekuja na kreti la ginger ale! akasema yupo tayari aje alale kwangu nimpe creti hilo

kilichondelea hapo msomaji endelea tu kumaliziaaaaa............😀😀😀
Wacha weeeh
 
Back
Top Bottom