Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimejaribu kufikiri saana, bila majibu. Mpaka nataka kukubaliana kuwa Mkoloni alikuwa mtawala mwema saana. Mkoloni alikuwa anajenga Kwao( Ughaibuni) na hapa akitumia mapato yao na yetu.lkn bado...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wanaJF, kama heading inavyosomeka hapo juu, mimi ni kijana wa miaka 29, nimeajiriwa, kazi imenitenganisha na familia,( mzazi mmoja ambaye ni mama, maana baba alifariki kipindi nikiwa mdogo...
0 Reactions
105 Replies
9K Views
Kati ya hivi vipara vinne kipi maarufu?
0 Reactions
9 Replies
46K Views
1. Matukio ya Ujambazi 2. Usumbufu kwa Mama ntilie, Wamachinga na Bodaboda 3. Vifo vya kizembe vilivyokuwa vikisabsbishwa na Mafuriko. kwa watu waliokuwa wakiishi Mabondeni 4. Ugonjwa wa...
9 Reactions
42 Replies
6K Views
Wakuu, Hii sasa imeshakua kero. Naomba tuwasaidie TCRA, tuorodheshe kwenye huu uzi namba zote zinazotumika na matapeli wa mitandao. Tukianzia na hawa wanaotuma message za hivi: 0758122776 "ILE...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Pamoja na uchungu wa kuzaa, uchungu wa kifo cha mtoto wake mchanga lakini Hamida Gwota alizuiwa kuondoka hospitali kwenda kumzika mwanaye hadi alipe deni la Sh631, 584 za matibabu ya mtoto...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Nauliza tu mantiki ya wanasiasa na wananchi kwa ujumla kuratibu bei za vyakula wakati wa mwezi wa Ramadhani. Nijuavyo mimi kufunga ni ibada na tufungapo mambo yanatakiwa kuwa kama yapasavyo na si...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
-Utafiti umeonyesha kumbe wale kunguru unapoona wamejazana wanapiga kelele huwa wanafanya msiba wa mwenzao. Wakihuzunika na kutoa vilio kutoka mioyoni mwao. -Kunguru huwa hawasahau sura...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Hello GREAT THINKERS, Naomba kuwaulizeni hivi mbona mashirika mengi ya ndege hupata hasara kama vile KQ na Rwandan Air ? Hii ya Rwandan air nilisoma humu humu JF wamepata hasara kubwa sana .
0 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Closed
Asante sana mlionisaidia nimefanikiwa.
1 Reactions
40 Replies
8K Views
Zaidi ya nyumba 100 zatitia Dar ZAIDI ya nyumba 100 zilizoko katika bonde la Kingugi kata ya Kilungule Manispaa ya Temeke, jijini Dar es Salaam, zimebomolewa na maji kutokana na mvua zinazoendelea...
0 Reactions
0 Replies
883 Views
vifurushi vya Vodacom vipya ni balaa. kwangu vinasomeka hivi. na line 2 inasoma hivi nikapitia ya mwenzangu inasoma hivi. kWENYE MPANGILIO HUU MWAKA HUU BASI
5 Reactions
73 Replies
22K Views
Na Clonel Mwegendao Mtu Mmoja ambaye hajafahamika kwa Jina wala Sura amekutwa amefariki na Mwili wake ukiwa katika bonde la Mto Nyabirundu uliopo kitongoji cha Nyabichune Kijiji Nyabichune...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Asema mzigo haukumganda wala nini alikuwa anadanganya tu baada ya kuahidiwa kulipwa 2M, tazama video hii
2 Reactions
48 Replies
8K Views
Akiongea katika kipindi cha Tuongee Asubuhi kinachorushwa na televisheni ya Star Tv, Katibu mkuu wa chama cha kutetea maslahi ya walimu (CHAKAMWATA) anasema; "Chakamwata kinapambana katika kile...
2 Reactions
32 Replies
8K Views
An Indian scientific team was assigned to look for natural gas on the Songo songo islands, in the south of Tanzania. at the end of their tour, the team called on President Nyerere at the State...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Moshi. Mshtakiwa wa saba, Ally Mussa au Majeshi (49) amedai siku ya mauaji ya Erasto Msuya Agosti 7, 2013, yeye alikuwa mapumzikoni baada ya kufunga ndoa na Mwanaisha Juma. Akiongozwa na wakili...
3 Reactions
49 Replies
9K Views
Mwanafunzi wa darasa la nne katika shule ya msingi Sabasaba jijini Mwanza, Dotto Baraka (13) amefariki dunia baada ya kulipukiwa na betri ya simu aliyokuwa akiiunganisha na radio chakavu. Kamanda...
5 Reactions
35 Replies
5K Views
TATU MZUKA na BIKO ni michezo michafu sana hapa Tanzania. Utasikia mama ntilie au bodaboda au dereva au muuza matunda au fundi viatu ndo wanaoshinda. Kila siku wanashinda watu ambao hawana...
10 Reactions
53 Replies
7K Views
Back
Top Bottom