Watanzania jua haki yako

Watanzania jua haki yako

chinatown

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
1,232
Reaction score
1,109
Leo kimetokea kisa kimoja katika kituo cha mwendokasi Muhimbili.Nikawa interested nikasimama na kusikiliza.Abiria mmoja wa 70s alikuwa ana kadi yaani pre paid ya udart,bahati mbaya gari iliyokuwapo hapo ilikuwa haina sehemu ya kuchanja kadi ili wale pesa yao.Wahudumu wa udart money collectors wakawa wanamlazimisha abiria anunue tiketi ili aweze kuitumia kwa safari yake ile.Msafiri akagoma akawa anasema hawezi nunua tiketi ili hali tayari hii huduma kailipia kwenye kadi.

Kukawa na mzozo pale ndipo nikaja ona watanzania tulio wengi haki zetu hatuzijui, kwani kuna vijana ambao kwa muonekano wao wanaonekana ni wasomi na wamestarabika wakaanza kurusha matusi kwa yule msafiri kwa kumwambia kama huna pesa tukulipie.Yeye akawa anawajibu ninyi ndio wajinga kwani kuna kama watu watatu walikuwa wana kadi but still walienda kulipa tena wasafiri.

Nimesikitishwa sana na kauli za wale vijana
nikaelewa ndio maana kijani wanatutawala.
 
Ndio maana kakobe alienda kuthibitisha uraia wake maana si kawaida kwa mtanzania kufanya ivo. Utasikia nae yupo TBS ubungo kuthibitishwa ubora [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom