Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Kwa kawaida dereva ni mtu wa kutumwa tu na kuongozwa kama bendera inayofuata upepo uendeko! Ni mtu asiye na sekta rasmi.Muda na saa yoyote anatumwa kule au anatumwa pale!
Madereva wa viongozi wakubwa huwa wasumbufu sana huko mtaani wakiwa na magari ya Serikali. Ukikutana nao bar au mtaani kwenye car wash utamjua tu.
Hawa madereva wa magari ya wakubwa hasa 'presidental posts' taabu sana.
Serikali sometimes inachosha sana hasa watu wenye ulimbukeni na ambao hawajasoma. Wale wasio na pesa Serikalini huishi maisha ya kupretend sana.
Leo nadeal na madereva wa magari ya Serikali [STK /STL/SU/SM n.k]:
Ukimkuta dereva anayemwendesha (Naibu) Waziri au Afisa yeyote mkubwa Serikalini huwa wanapretend kuwa wao ndo mabosi. Hasa ukiwakuta wamevaa suti na wana vitambi vyao vya kuridhika na safari za 'wakubwa'.
Anaweza akafika mahari fulani anatoa command kama yeye ndo bosi. Au huko barabarani ndo kabisa. Wanaovertake hovyo sana barabarani bila kujali status ya eneo husika.
Akimkuta mwanamke anaongea nae as if yeye ndiye boss.
Madereva hawa huwa wepesi sana wa kujisahau sana.