Funga ya kweli

Funga ya kweli

MTU ALIYE NYIKANI

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Posts
345
Reaction score
463
Nimeikuta mahali hii kuwa
"Kama umejiunga na kifurushi cha chuo na wewe sio mwanachuo basi funga yako ni bure"
Naomba mwenye uelewa wa hili anisaidie ufafanuzi maana usikute nafanya kazi bure ya kujishindisha na njaa maana laini zangu zote nazotumia ni za chuo na chuo nilishamalizaga kitambo sana
 
Hujamaliza chuo wewe.

Labda Hood College of Street Tactics.

Kipi cha kueleweshwa hapo🙄🙄
 
Back
Top Bottom