Ajali Chalinze: Mkurugenzi Msaidizi wa Elimu ya Afya kwa Umma wa Wizara ya Afya Hellen Semi afariki

Balagha

Member
Oct 8, 2016
21
17
Ajali mbaya imetokea leo maeneo ya chalinze na kuua mkurugenzi msaidizi wa elimu kwa umma wa wizara ya afya kwa jina Helen Semu.

===================
Habari Zaidi
===================

Mkurugenzi Msaidizi wa Elimu ya Afya kwa Umma wa Wizara ya Afya Hellen Semi amefariki leo kwa ajali ya gari huko Chalinze mkoani Pwani.
-----'---
Director of Preventive Services, Dr Neema Rusibamayila and Asst. Director, Health Education Ms. Hellen Semi had a road accident today in the morning while on their way to Dodoma to attend RMOs meeting.

We are told Hellen Semi is dead. RIP Hellen.

Praying for a faster recovery of Dr Rusibamayila

From Dom: Dr Neema and Driver are in ambulance being rushed to Muhimbili. They are stable but in pain.

The accident occurred in Lugoba ( between Mdata and Chalinze). The driver was overtaking 2 vehicles at once. The front driver rejected the overtaking and increased the spee. To avoid head on collision, Neema' s driver had to get out of the road and went into the ditch.
img-20161016-wa0066-jpg.419156
 
Hivi hiyo barabara ya Chalinze kutoka Kibaha hadi Chalinze njia panda itaboreshwa lini? Wengi na hasa viongozi wamepotezea maisha pale kutokana tu na ubovu wa barabara inayoweza kurekebishika. Hivi Magufuli na Samia walipita hapo pakiwa katika hali gani?
 
R.I.P Mkurugenzi msaidizi Elimu kwa Umma.

Na majeruhi Mungu awape nafuu ya haraka.
 
poleni wafiwa poleni waganga wakuu wa mikoa na wilaya nchini maana kikao kimeingia hitilafu. daaah inauma sana
 
Tajiri ananunua gari, anamtafuta dereva, dereva anatafuta 'cha Arusha' na kikimchanganya barabara yote yeye ndo bosi. Askari wanapima ulevi kwa madereva wa basi kubwa lakini magari binafsi yaliyoegeshwa baa yanaendeshwa na walevi wanaoendelea kunywa mpaka sasa. Nchi zilizoendelea dereva hanywi wenzake ndo wanakunywa na yeye anasubiri zamu yake ya kunywa siku nyingine kwa hiyo usiulize kwa nini nchi zilizoendelea hazitokei kama bongo. Hata Rwanda kuna heshima barabarani mpaka raha.
 
Back
Top Bottom