Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa uchunguzi mfupi nilioufanya kuhusu boda boda ambao ni hatarishi zaidi katika usalama wa barabarani na abiria wao pia ni wa aina hii: 1.kanyoa kiduku na mavazi yake ni ya kihunihuni bila...
6 Reactions
35 Replies
3K Views
Wadau, Hawa watu wanasema ifikapo June watazima simu zote feki, ajabu washalamba ushuru wa simu hizo na wao wenyewe (serikali) ndio waliotoa kibali ziingie nchini na kuuzwa. Anyway, swali langu ni...
3 Reactions
90 Replies
14K Views
Zipo njia nyingi za kutafuta pesa au kutafuta chakula nk. Mfano kilimo cha jembe la mkono, wachimbaji wa wadogo wa madini, ufugaji nk. Lakini uvuvi wa kutumia mtumbwi au ngalawa ni hatari kwa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Namwangalia Bashiru ally mhadhiri wa UDSM akihojiwa na Kassim Kaira wa BBC kutoa maoni yake kuhusu Marekani kuingilia kijeshi kuwapiga wanamgambo wa kiislam ISIS wa Iraq wanaowasilimisha wakristo...
2 Reactions
100 Replies
15K Views
wakuu salaam,kama heading inavyojieleza hapo naomba kuuliza kuhusu huyu mama kamishna wa elimu kama alitumbuliwa au LA,kwasababu juzi kati ktk taarifa ya wizara ya elimu kuhusu shule binafsi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Vitendo vya ukatiri visipozibitiwa tutapoteza nguvu kazi ya Taifa. [emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21]Mtoto Godfrey alitaka kuishi lakini baba yake mzazi kaamua kukatisha maisha...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
ile kesi ya mwanajeshi aliyesababisha taharuki pale ATM Sinza imefikia wapi? tunaomba Up-date kama mtu ashakula mvua au ndo ipo undercover?
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kijana aliyefanya uokozi wa mtoto aliyekuwa amenaswa kwenye ghorofa jijini Parisi na kupewa Uraia wa nchi hiyo na kazi katika kikosi cha zima moto Rais wa Mali amemtaka huyo kijana arudi Mali...
0 Reactions
87 Replies
12K Views
Hamjamboje wanajamvi Wahusika tunaomba msaada wa matengenezo ya barabara ya Azikiwe eneo la mbele ya Bank ya NMB Maktaba House. Kile kipande kimekuwa kero kwa sisi wapitaji... Sijui wahusika...
0 Reactions
0 Replies
735 Views
Kuna jamaa mwanasiasa jina kwa kapuni (sababu ya sharia mupya) anawafadhili ili kuisumbua serikali (picha nayo kapuni.) Wameandaa na wapiga mawe.
0 Reactions
67 Replies
11K Views
Kuna mtu kapost hii news lakini kila nikijaribu kufungua ina fail.. Ni post nzuri mtoa uzi Hivi kweli hili linawezekana jamani? Kwa shida na struggle zote mpaka kuingia Europe na kufunguliwa njia...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Angalieni hii video kijana analalamika ujionee uonevu unaofanywa na vyombo vinavyotakiwa kutulinda
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni huyu dada,mtangazaji wa ebony fm (106.9) dsm. Kipindi chake ni jioni saa 11 nadhani...kinahusu mambo ya habari. Huyu dada ana sifa 95% ya kuwa mtangazaji na hachoshi kusikiliza. 1.Ana sauti...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Maumbo ya wanawake wakimbizi kutoka nchi jirani ya Burundi huko mkoani Kigoma yamezua gumzo baada ya akina Baba kuzitelekeza familia zao na kuoa wanawake hao wakirundi Baadhi ya Wanaume katika...
0 Reactions
32 Replies
10K Views
Wakazi wa Boko Nakasangwe Wilayani Kinondoni katika Jimbo la Kawe Mkoani Dar es Salaam wameamua kuzikimbia Nyumba zao na kutafuta hifadhi za Kilazima maeneo mengine ya Mji hasa baada ya Nyoka aina...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwanamuziki Snoop Dogg amefanikiwa kuingia kwenye kitabu cha rekodi za dunia “Guinness World Record”, baada ya kufanikiwa kutengeneza mchapalo(cocktail) wenye ujazo mkubwa zaidi duniani unaotajwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari za humu ndani! Wazee kuna operation hii ya polisi inaitwa NYAKUA NYAKUA [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tujipange wazee no more vyeti road mwendo wa kunyakuliwa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Traffic tunaomba mruhusu gari zinazotoka njia ya Segerea acheni ubabaishaji
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nina mtoto wangu anakojorea sehemu ya chini ya uume sijui wanaita haipospadia. Nimetafuta daktari wa kumtibu kuanzia kituo cha afya, wilayani hadi mkoani ila hamna huyo daktari wanasema hadi...
1 Reactions
35 Replies
6K Views
Back
Top Bottom