Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Serikali ilizindua sera ya Taifa ya huduma ndogo za fedha ili kuhakikisha wakopaji wakiwemo wajasiriamali wadogo wanalindwa na kupata haki zao bila kudhurumiwa wanapo hitaji mikopo na huduma...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Salam, Hakika Tanzania sijui tuna mkosi gani, mara nyingi huwa tunakwenda mbele kwa kasi ya kuridhisha katika mausuala ya kiuchumi, au kiteknolojia, lakini ghafla, tunarudi nyuma/tunashindwa. Kwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Uamuzi wa Serikali wa kupunguza kiwango cha chini cha amana kinachotakiwa kuwekwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na benki za biashara nchini, umechochea taasisi za fedha yakiwemo mabenki kuanza...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ripoti ya Shirika la kutetea haki za watoto la Save the Children imesema karibu watoto Bilioni 1.2 wanakabiliwa na hatari kubwa kutokana na Migogoro, Umaskini na Ubaguzi wa kijinsia katika nchi...
0 Reactions
0 Replies
779 Views
*Uchawi Wa Kweli Ni Pale Unaposubiri Baba Yako Ambaye Ni Dereva Bodaboda Aende Kazini, Halafu Wewe Unampigia Simu Demu Wako Aje Nyumbani. Bahati Mbaya Inalalia Kwako, Kwani Baba Yako Ndiye...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Zimebaki siku chache tu mfungo umalizike nawatakia heri ya sikukuu wanaJF wote na wafungaji wote, Mungu aifanye sikuku yenye amani na baraka tele.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ikiwa mtu alisoma degree si ya ualimu then akajasoma diploma ya ualimu na akaajiriwa serikalini kupitia diploma! JE AKISOMA POSTGRADUATE DIPLOMA YA EDUCATION SCALE YAKE NA CHEO ITAKUWA SAWA NA...
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Wizara imemwandikia barua Mwanasheria Mkuu wa Serikali ili kubadili sheria na kila mtu aweze kujipima Ukimwi nyumbani. Waziri Ummy ameyasema hayo leo Mei 31...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Akrit Jaswal ni kijana mdogo wa kihindi aliyeitwa kijana mtanashati katika dunia nzima, kwa maajabu aliyonayo. Kijana huyu ana IQ 146 na anahesabika kuwa ndiyekijana mtanashati katika nchi ya...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Huko maeneo ya Kibada Kigamboni, mwendesha bodaboda kauawa na majambazi wakati wa tukio la uporaji likiendelea. Bodaboda aliyenusurika anasimulia, ilikuwa juzi Jumamosi kuamkia Jumapili, watu...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Nataka nihamie kwenye nyumba yake alafu yangu nipangishe...!
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Kwa yeyote anaetumia Gari isiyo nafunguo ya kawaida kwa maana zile zenye kutumia ki remote sensor kwa kuwasha gari na milango, unapoenda office za Azam Tazara hakikisha usizime gari yako mpaka...
15 Reactions
52 Replies
9K Views
Rais si mtu mmoja Bali ni Taasisi ambayo ni Alama kwa Taifa Lolote, Rais Ni most protected people within his or her state, Rais hulindwa kwa cost yoyote ili awe safe Leo nitadadavua kwa Ufupi juu...
3 Reactions
27 Replies
9K Views
Ni jambo la ajabu kweli kwamba mawazo mema mawazo yenye faida kwako na kwa wengine mawazo yenye kulenga utakaso wa kiroho kamwe hayapewi nafasi kubwa kwenye bongo zetu Mwanadamu hutumia muda...
13 Reactions
71 Replies
15K Views
SERIKALI imelipa madeni ya wakandarasi na watoa huduma mbalimbali yanayofikia zaidi ya shilingi trilioni 1.2 katika mwaka huu wa fedha hatua iliyochangia kuongeza ukwasi wa fedha katika jamii...
0 Reactions
2 Replies
729 Views
Dunia nzima bila kujali uhalali wa kinachoabudiwa kuna mifumo ya kiibada ya wazi na ya kujificha. Wapo wanaoabudu Wanyama. Wapo wanaoabudu Miti Wapo wanaoabudu Pesa Wapo wanaoabudu Sayansi Wapo...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu vyuma vinakaribia kuvunjika baada ya kukaza kwa muda sasa, naomba kujuzwa kama Kuna bank inanunua deni la loan board nikajilipue, mana nimebakiza makato ya kama mwaka na nusu tu kwa kipindi...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Habari zenu wana JF? Ni matumaini yangu kila mmoja wetu hapa ameweza kuiona siku ya leo. Bila shaka ni jambo la kushukuru sana maana siyo wote waliolala jana na wameamka leo. Bila kupoteza...
11 Reactions
30 Replies
5K Views
Napendekeza tuwe na Timu za michezo ya Soka, Pete na Kikapu ambazo zote zitakuwa chini ya Mtandao wa JamiiForums ili basi kupitia Sisi kuwa na kujiita Great Thinkers tuweze kuwaonyesha wasiokuwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakopaji wa hela wana maneno matamu sana na sababu nyingi sana zilizojitosheleza na zimepangika haswa! Anatiririka na kukuweka kati bila shida. Anakuja na sababu ambayo anaitetea safi kabisa...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Back
Top Bottom