luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,709
- 8,927
wakuu salaam,kama heading inavyojieleza hapo naomba kuuliza kuhusu huyu mama kamishna wa elimu kama alitumbuliwa au LA,kwasababu juzi kati ktk taarifa ya wizara ya elimu kuhusu shule binafsi kutowarudisha wanafunz walioshindwa kufikia wastani,ktk taarifa hiyo saini pale chini ilisainiwa na somebody Dr shirima, naomba kuwasilisha