Kuna watu wamebarikiwa kweli

Kuna watu wamebarikiwa kweli

intro

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2016
Posts
308
Reaction score
328
Ni huyu dada,mtangazaji wa ebony fm (106.9) dsm.

Kipindi chake ni jioni saa 11 nadhani...kinahusu mambo ya habari.
Huyu dada ana sifa 95% ya kuwa mtangazaji na hachoshi kusikiliza.

1.Ana sauti mwanana yani hachoshi kusikiliza.


2.Lafudhi yake si ya kuigiza kama wale vijana wa saa 7 mawingu fm.

3.Anatamka maneno ya kiswahili ipasavyo yani unasikia kila neno....sio wengine wanatumezea maneno.

Namtabiria atafika mbali hata mashirika ya utangazaji ya kimataifa.Amen!

Nisaidieni taarifa japo kwa ufupi za huyu bi dada.

Kipindi kinaitwa ebony machweo

Asanteni
 
Aisee,umesema ana sifa 95% kuwa mtangazaji alafu unaomba tena tarifa za huyu Dada .
Tunakutegemea utupe ww Mkuu.
 
Mwanzoni nilimtabiria makubwa Dada Regina Mwalekwa akiwa Radio One
Kwa sasa ni Bibie Beatrice Kamanga Wa Radio Wapo Fm Ya Dar
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom