HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,448
- 6,211
Traffic tunaomba mruhusu gari zinazotoka njia ya Segerea acheni ubabaishaji
Traffic tunaomba mruhu gari zinazotoka njia ya segerea acheni ubabaishaji
Kuna traffic wanawake pale yani anaruhusu za upande mmoja tu hadi kelo nusu saa nzima ametuganfishaWatakwambia wanatoa kipaumbele kwa gari zinazotoka mjini
Uwe wa kiume na mbele yako kuna mdada ana msambwanda alafu mmebananaUsiombe uwe umeshika bomba,..
Zinamulika wakwepa kodihivi taa za kuongozea magari zinakazi gani