Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna usemi usemao Mtembea bure siyo sawa na mkaa bure huenda akaokota! Tusikae kae nyumbani au sehemu moja. Tutoke tutoke tutoke! Ni hayo tu
10 Reactions
53 Replies
5K Views
Ndugu wana jf naomba kwenye thread hii tutaje taasisi au idara na mashirika yanayofanya serikali ichukiwe sana kutokana na mwenendo wake pia ukiweza taja na Yale yanayofanya serikali ipendwe mfano...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Mbunge wa Serengeti Marwa Ryoba amesema ahafahamu kuwa Makinikia ndio sababu ya Tundu Lissu kupigwa Risasi na Mungu anajua hata kama wabunge wengine wakijifanya hawafahamu. Aidha amehoji ziko wapi...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Sielewi wananchi tumewakosea nini viongozi wetu, Sielewi wakuu wa sekta mbalimbali professional zao zinatusaidiaje wananchi! Sielewi na pia siamini kabisa hawajamaa tuliowapa mamlaka kama wana...
24 Reactions
52 Replies
5K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), ambaye amebakiza siku chache kung'atuka kwenye nafasi hiyo Dkt. Helen Kijo-Bisimba amedai akitoka hapo ataenda kujihusisha na...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Heshima yenu wanajanvi, Naomba mwenye kufahamu hii code namba ya simu anijuze +441277 yaweza kuwa ni code namba ya taasisi ipi ama ni code namba ya nchi gani. Tafadhali naomba kujulishwa...
1 Reactions
14 Replies
10K Views
Kidini ukimsitiri mwenzako hutakiwi kusema ila wakati mwengine vinazidi, Inakuaje mtu hujali upande wa mwenzako aliekusaidia? Yaani mtu anakulilia shida, unamsaidia, anasema mwisho wa mwezi...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, ajali hiyo ilitokea majira ya saa 5:45 usiku wa kuamkia juzi kwenye shimo namba 131, wakati wachimbaji hao wakiendelea na shughuli za ukarabati wa shimo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi wilaya ya Bukoba imemuhukumu kwenda jela miaka 60, Ustadhi Amoud Kyabushukuru kwa makosa mawili ya ubakaji na kulawiti mtoto mdogo wa kike aliyekuwa akimfundisha somo la...
5 Reactions
150 Replies
23K Views
Imenisikitisha Sana Kuna mgeni wangu aliomba visa ubalozini Washington dc imemchukua zaidi ya wiki mbili kurudishiwa passport yake yenye visa. Ilibidi amwombe msaada afisa ubalozi WA nchi ya...
0 Reactions
2 Replies
872 Views
• Utitiri wa Mali Asili za Tanzania kutangazwa viwanja sita WIZARA ya Maliasili na Utalii kwa kushirikiana na Taasisi za Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), TANAPA na Hifadhi ya Ngorongoro...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari wakuu Serikali ya Tanzania imekua ina mikakati hovyo hovyo sana kwenye masuala ya magonjwa,kila ikiamka inaleta hadithi mpya ambazo hazidumu ata kidogo Mara walete chanjo ya ukimwi na...
0 Reactions
3 Replies
988 Views
TAMKO LA C-SEMA (SIMU YA HUDUMA KWA MTOTO) KUPINGA UKATILI WA WATOTO MTANDAONI 31.05.2018 C-Sema ni taasisi inayoendesha Kituo cha Huduma ya Simu kwa Mtoto kwa kupitia namba 116. Namba 116 ipo kwa...
2 Reactions
16 Replies
5K Views
Aisee hizi Channel naona Zinatafuta Hela kwa Nguvu sana Mpaka Inafikia Hatua Customers tunakosa Uhuru wa Kuingia Youtube Kama Dakika 1 nzima Ya Mwanzo wa Video wanazo upload zinaanza na...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Humu JF watu wanafichua Madudu mengi ambayo ni ngumu wao serikali kuyajua. Wanapopita humu wanang'amua mambo mengi ambayo wakiyafanyia kazi nchi inakuwa salama, uhalifu utaisha, na kila uovu...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Mtoto wa miezi 6 afundishwa kuogelea na mzazi wake kuna haja kubwa sana ya kumfundisha mtoto 1.shabaha 2.kuogelea na 3.ukakamavu Ila huyu mzazi kama vile kazidisha kumfundisha huyu mtoto ngali...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa mara ya kwanza nimepokea Text kutoka kwa my Anko aliyeko Marekani, kanitumia "Vipi wazima uko?" mara ya mwisho tuliongea nilikua Form 1 na ilikua kabla Trump hajashinda.. Baada ya kushinda...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu wassalaam!! Nimepata safari ya dharura kwenda Mexico city kikazi(July 15-27) Naomba kwa anayefahamu nature na lifestyle ya huko anipe utundu kidogo japo nisurvive vizuri kwa mda huo...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kama mada inavyojieleza, Huu ni mwezi wa 3 tangu nianze kazi na kulipwa take home laki 2 but hadi sasa sijaona cha maana nilichofanya kwa huo mshahara. Mshahara wa kwanza umetoka nikamtumia mama...
1 Reactions
80 Replies
6K Views
Dar es Salaam. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Salum Hapi ameliagiza Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi wa kina kuhusu tuhuma za mwalimu wa kiume katika Shule ya St Florence ya jijini Dar es Salaam...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom