Nina mtoto wangu anakojorea sehemu ya chini ya uume sijui wanaita haipospadia.
Nimetafuta daktari wa kumtibu kuanzia kituo cha afya, wilayani hadi mkoani ila hamna huyo daktari wanasema hadi Bugando.
Nimeenda Bugando wagonjwa wa matatizo hayo wengi,dakitari wa kutibu wachache kama sio mmoja wanasema.
Sasa nauliza serikali mpo wapi? Mnashidwa kitu cha muhimu kama hiki.
TUNAOMBA SIASA ZIWE PEMBENI, AJIRINI MADOKTA WA IDARA YA MKOJO KWA WINGI.