Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tuelewane tu hapa na tuwekane sawa kiroho safi. Kutumia pombe kuna hasara yake ila hakuwezi kuzidi hasara ya kuacha pombe. Kuacha pombe kuna hasara kubwa (nyingi) zaidi kuliko faida katika...
7 Reactions
50 Replies
7K Views
Niliongea na mdau mmoja kuhusu mambo mbalimbali mazuri yanayoendelea nchini. Tulifika mahali akasema kuwa mradi wa TAZARA FLYOVER kwa ufupi wake hautaweza kutatua suala la foleni jijini Dar es...
11 Reactions
78 Replies
9K Views
Anaitwa Padre Lucien (Lucian) Ambuga wa nchi ya DRC,ameambukizwa EBOLA wakati akitoa sakramenti ya Mpako wa Wagonjwa,kwa sasa yupo ktk Karatini (Quarantine Camp). Mara kwa mara amekuwa...
5 Reactions
51 Replies
9K Views
Nashuka tu kwenye daladala, dakika chache baada ya kuvuka barabara jamaa mmoja ananifuata. Nikawa nimemtilishaka, na nikaiadjust akili katika "Hapana Mode". Jamaa akaeleza amesoma chuo cha Ardhi...
23 Reactions
73 Replies
8K Views
Ni utaratibu gani unatumika kusajili gari ya serikali iliyonunuliwa kwenye mnada?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Baraza la madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Maswa mkoani Simiyu kwa kauli moja wamepitisha kuwa kila Kaya katika wilaya hiyo itachangia kiasi cha sh 50,000/= kwa kila mwaka kwa ajili ya...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Naamini hapa jukwaani kuna wadau wanaotamani siku moja kujiingiza katika uchimbaji mdogo na pia naamini kila mtu hapa ana imani yake kupitia makanisani ama misikitini. Binafsi mimi ni muumini wa...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
KUTOA MIMBA Mama mmoja huku akiwa anawasiwasi alienda kwa daktari wa magonjwa ya akina mama na akamwambia " mwanangu hajafikisha hata mwaka mmoja na mimi nimepata ujauzito tena" Daktari...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
TRA ni zaidi ya wiki sasa mashine za EFD zinasumbua sana wakati wa kutuma Z-report. Unajikuta unajaribu nusu saa nzima inagoma. Inabidi ujaribu tena kesho yake ndio labda inaweza kukubali. Tatueni...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Rafael Sui, mkazi wa Kata ya Shirimakunda katika Manispaa ya Moshi amefariki dunia papo hapo baada ya kunaswa na umeme wakati akifanya kibarua cha kupangua...
3 Reactions
31 Replies
6K Views
Nimefuatilia nimeshindwa! Dereva wa gari ya Serikali ni mtu asiyeridhika na alichonacho kabisa. Hata umwambie akaweke lita 2 za diesel lazima tu achakachue hata nusu lita. Yaani wanageuza sana...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Simu 2000, wangesema tu ni Ubungo kama zamani. Gerezani, hiki kituo kingeendelea kuitwa na kuandikwa Kariakoo kama zamani.
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Nimeona leo mahakimu wakiwa mwamehamishwa hamishwa balaa, wametawanywa. Hii ni nzuri, sio vizuri hakimu kukaa sehemu moja miaka mingi hadi anajenga kiota, anajenga undugu hivyo anaendesha kesi...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Habari za usiku wadau kuna ajali mbaya iliyotokea leo usiku maeneo ya Chalinze na kugharimu maisha ya Mabosi watatu wa TANZANIA INVESTMENT CENTRE. Mabosi hao walikuwa wanaelekea Dodoma kwenye...
5 Reactions
159 Replies
28K Views
Wasalaamu wakuu. Huku Nyamongo wazee wa kimla wametoa amri ya kukata miti ya upanga uzazi na ukikaidi Ng'ombe tano faini. Najiuliza hii miti imewakosea nini karne hii ya 21? Mbona ilikuwepo...
2 Reactions
60 Replies
15K Views
Sergio Ramos wa timu ya Real Madrid Spain akisherekea ushindi mpira wa miguu wa Kombe la mabingwa wa ulaya akiwa na mke wake pamoja na watoto baada ya kuwafunga Liverpool ya Uingereza kwa mabao 3...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama wewe ni kijana ...Jaribu kuwa makin ...maana unaweza kuishi mjini kama hapa dar jinsi palivyo unakuta mzee wa miaka 60+ anatembeza sambusa kiukweli ...inatia uchungu sana . wewe kama...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imesema imemkamata mtuhumiwa wa biashara ya mihadarati, Ayoub Kiboko jijini hapa. Kiboko ambaye ni mfanyabiashara maarufu...
1 Reactions
86 Replies
26K Views
Athari za Bwawa la Nyumba ya Mungu wilayani Mwanga kujaa maji kupita uwezo wake zimeanza kujitokeza baada ya wakazi zaidi ya 2,500 kutakiwa kuyahama makazi yao wilayani Same mkoani Kilimanjaro...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mapenzi ni matamu, lakini yanapoingia dosari huweza kusababisha madhara na kufikia hatua hata ya waliopendana kuuana. Matukio ya wanandoa kuuana yanaendelea kukithiri nchini na wanasaikolojia...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Back
Top Bottom