Madereva tuweni makini barabarani

Madereva tuweni makini barabarani

samuel faraj

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
1,326
Reaction score
1,268
Habari za humu ndani!
Wazee kuna operation hii ya polisi inaitwa NYAKUA NYAKUA [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tujipange wazee no more vyeti road mwendo wa kunyakuliwa tu[emoji2] [emoji2] [emoji2] next day unapanda kwa pilato
20180529_171045.jpg
 
Yani kisa kujua kuendesha vibaby walker vya automatic ndio unajisifu kwamba wewe ni dereva haswa
 
Chungeni maisha ya wenzenu.

Na mali zao bila kujali kama kuna askari au la.

Spidi sio ujanja. Na sio umahiri barabarani.
 
Chungeni maisha ya wenzenu.

Na mali zao bila kujali kama kuna askari au la.

Spidi sio ujanja. Na sio umahiri barabarani.
siendeshi gari la abiria hiyo ni my private car.....hata ikitokea nimekufa nitakua alone[emoji12] [emoji12]
 
Unapoendesha gari kwa spidi zaidi ya kiwango kinachokubalika na mamlaka kisha ukafika safari yako salama basi utajiaminisha kua wewe ni dereva hodari na wanaosema speed inaua ni waongo tu!

But siku ukipata ajali na ukajikuta huna miguu yote miwili hapo ndipo utakapotambua kua kumbe kweli speed ni hatari But itakua too late!

So,kua muangalifu sana usije juta majuto ya mjukuu.
 
Puuumbafuu! Bora ufe wewe ukitugongea mifugo yetu je!?
[emoji23][emoji23][emoji23]. We jamaa shenzi sana.
Sikua na mpago wa kuandika chochote ila imenibidi asee. Asante kwa kuusukumiza usiku wangu na tabasamu mwanana
 
Back
Top Bottom