Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,395
- 13,273
"Bodaboda dawa yenu inachemka, tutawafungia matela ya kubebea abiria na nyie mkae kwenye foleni kama bajaji na magari mengine. Matela haya yataleta utulivu barabarani lakini pia yatawaongezea tija kwani badala ya kubeba abiria mmoja, sasa mtapakia zaidi"- Waziri wa Mambo ya Ndani, Mh. Kangi Lugola