Msaada mwenyeji wa Tabora wilaya ya Sikonge

Msaada mwenyeji wa Tabora wilaya ya Sikonge

mabwiku

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
447
Reaction score
392
Habari wanajanvi,mdogo wangu kapangiwa wilaya tajwa hapo yupo kada ya afya,naomba kufahamu mazingira yakoje pamoja na makazi kwa ujumla
 
Wewe ntakukamata na nikuvue Nguo kuanzia Kwa Rehani Tutuo na nikupitishe uchi kijiji cha Mkolye na Mlogoro. Nikikufikisha njia panda ya Kisanga au Ikuli ya Sikonge, utatembea kwa magoti hadi kituo.cha Mabasi. Usidhani ukikiona kituo cha Polisi kitakusaidia kwani Wanafunzi wa Mbirani wanapiga sana kelele. Hapo ntakukimbiza hadi Misheni nyuma ya Mlima Kidugalo kwa Wagonjwa wa Ukoma.
Nikimaliza nakupeleka uwanja wa ndege na kukuonyesha mandhari ya Sikonge. Ntamalizia kwa kukupatia Chai hotel ya Yongolo na kukupelela bwawa la Utyatya ukaoge.

[emoji23] isije ikawa ni jina tu afu hajawahi hata kufika tabora
 
  • Thanks
Reactions: Mom
Kuna kila kitu kama Wilaya au miji mingine midogomidogo. Usafiri kutoka Tabora wa kumwaga. Lami iko mbioni kuletwa hadi Tabora
Kama una ndege yako zipo sehemunza kutua.

Nyumba za kupanga kwa muda mrefu au mfupi imekuwa biashara siku hizi. Watu wengi wanajenga na kupangisha.
Ukipata Toto la Kinyamwezi au Kiarabu basi waweza kujenga nyumba yako kabisa Sikonge

Kujirusha kuna ukumbi wa Nkumba na kumbi nyingime kadhaa. Gas ya kupikia inapatikana.
Huduma ya Bank hadi ATM zipo. Umeme upo wa Tanesco.
Sasa hivi Tanzania watu wanawekeza. Karibu sehemu nyingi kuishi ji rahisi.
Karibu Sikonge.

Habari wanajanvi,mdogo wangu kapangiwa wilaya tajwa hapo yupo kada ya afya,naomba kufahamu mazingira yakoje pamoja na makazi kwa ujumla
 
  • Thanks
Reactions: Mom
Karibu uswahili ndugu, huku majanga tu inabidi ukomae tu
 
Habari wanajanvi,mdogo wangu kapangiwa wilaya tajwa hapo yupo kada ya afya,naomba kufahamu mazingira yakoje pamoja na makazi kwa ujumla
Mwambie ajiandae na hili vumbi la huku, yani kuna vumbi ZITO huku ni balaa,..
 
Back
Top Bottom